wangoni wana nini jamani??

Du Chimunguru wewe mwisho we reli! hata mm nimekukubali. Nasikia hawa jamaa walikuwa wawindaji hodari sana, wakawinda hadi wanyama wote wakaisha, basi wakaamua wapeane majina wa wanyama kuwa wewe utaitwa Tembo, Mapunda, Tumbili n.k.
Kuna stori kuwa Pope John Paul alipoenda Songea (sikumbuka mwaka) akawauliza awafanyie nn? wakamjibu wanaomba afute amri ya sita kwani inawabana sana! teh teh!

Hahahahahaaa! Majina ya wanyama yalitolewa ili kuhifadhi wanyama maana walielekea kwisha kwa kuwindwa. So, akina tembo walikuwa hawali nyama ya tembo kwani ni kama ndugu yao, so, eneo la kina tembo, mnyama tembo aliweza kusalimika, eneo la kina Simba, mnyama simba aliweza kusalimika, nk.
 
Mmenigusa hapo mana mie ni mngon wa damu, na bibi yangu anaitwa nambuz! Huwa nyama ya mbuz hagus, ila sie vjana bongo flava hata hatujali.
 
Kumbe tupo wengi hapa JF..........................Usisahau upande waziwani Lituhi........Manda na Ndumbi etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom