wangoni wana nini jamani??

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,051
361
Jambo wana jf,napenda kufahamu asili ya majina ya kingoni/Wangoni maana utasikia mara ngonyani,mapunda,sungura,tembo,nguruwe......mmmh ,wanajf naomba nyongeza ya majina ya wangoni na kuelewa why wanapenda majina ya wanyama?
 
oyaaaaa ngoni tribe is a tribe of war! majina yetu matamu sana ktk masikio ya watu. si ajabu kuwa na majina km haya hata ulaya wapo akina john deere, karibuni sana songea, penye pale ukifika tu utakaribishwa na mr mbuzi na mjomba ake bwana ndomba, watakupeleka nyumbani kwao ukasalimie ukoo wa kina komba ambaye ameoa kwa kina nguruwe. km hamtakutana nao basi ntampigia simu mbawala anayeendesha tax ya mzee nyoka awapeleke kwa soko mkapate msosi wakati akina ngonyani wakiwatafutia sehemu ya kulala. mtapaona bombambili kwa kina fusi mtelemke mpaka mahenge kwa kina nyoni mtafika matogoro kwa kina mtutuma pale karibu makambi kwa kina gama na kimolo wapo akina luoga, nkondola chale na wengineo weeeeengi
 
Duh,chimunguru nimekukubali....halafu naskia nyie mmetokea bondeni kwa jacob zuma,vp c mrudi kwenu au vje?
 
Nyumbani kwetu,bombi hii nyumbi hii,ukisikia kuku kwikwili kwikwili nyumbani hapo
 
@washawasha,haya bwana mpe salamu ndugu komba ,kumbe na weye ni wa kunyumba...halafu nadhani humu ktk jf kuna wangoni ngoja tuunde chama cha wangoni?
 
Bila kumsahau bwa Ngatunga. I had to ask my friend what Ngatunga means, you know what he said??

Nungunungu
 
Je, bwana wewe. Umesahau ndg zetu walioko njalamatata, njomlole, litola, ligela, namabengo, namtumbo,likuyu,mbitimbi, lizabon. We kutaja matogolo kwa mtutula kumsahau jirani yao kindole siyo kunoga. Bwana wewe kumtaja kombaaa kunikumbusha litembo, mbambabay, ndengere,chinula pale tunakula mchukwa je!
 
@washawasha,haya bwana mpe salamu ndugu komba ,kumbe na weye ni wa kunyumba...halafu nadhani humu ktk jf kuna wangoni ngoja tuunde chama cha wangoni?
Hapana mkuu mimi sitokei huko,natokea ktk hiyo avatar yangu unayoiona
 
nilitaka kuchangia ila kuna huyu mwenye avatar ya chama cha majambazi hapo ameshanikata stimu mtanisamehe ninatapika naweza kuitapikia kibodi nitachangia kesho nikishaisahau hiyo bendera.
 
Je, bwana wewe. Umesahau ndg zetu walioko njalamatata, njomlole, litola, ligela, namabengo, namtumbo,likuyu,mbitimbi, lizabon. We kutaja matogolo kwa mtutula kumsahau jirani yao kindole siyo kunoga. Bwana wewe kumtaja kombaaa kunikumbusha litembo, mbambabay, ndengere,chinula pale tunakula mchukwa je!
Uwezi kutaja Lizaboni pasipo kuitaja Londoni
 
nilitaka kuchangia ila kuna huyu mwenye avatar ya chama cha majambazi hapo ameshanikata stimu mtanisamehe ninatapika naweza kuitapikia kibodi nitachangia kesho nikishaisahau hiyo bendera.

Fungato haliumizi kuni... Utatia akili mwaka huu!
 
oyaaaaa ngoni tribe is a tribe of war! majina yetu matamu sana ktk masikio ya watu. si ajabu kuwa na majina km haya hata ulaya wapo akina john deere, karibuni sana songea, penye pale ukifika tu utakaribishwa na mr mbuzi na mjomba ake bwana ndomba, watakupeleka nyumbani kwao ukasalimie ukoo wa kina komba ambaye ameoa kwa kina nguruwe. km hamtakutana nao basi ntampigia simu mbawala anayeendesha tax ya mzee nyoka awapeleke kwa soko mkapate msosi wakati akina ngonyani wakiwatafutia sehemu ya kulala. mtapaona bombambili kwa kina fusi mtelemke mpaka mahenge kwa kina nyoni mtafika matogoro kwa kina mtutuma pale karibu makambi kwa kina gama na kimolo wapo akina luoga, nkondola chale na wengineo weeeeengi
Yaani umenikumbusha mbali sana! Hasa ile hospitali niliyozaliwa. kwa jina inaitwa PERAMIO hospital
 
Duh,chimunguru nimekukubali....halafu naskia nyie mmetokea bondeni kwa jacob zuma,vp c mrudi kwenu au vje?

teheteh kaka sisi ni waSauzi bana njia yote tulikopita wapo Ngoniz kibao hapo zambia akina Tembo, Njovu, Soko wako kibao tu Zimbabwe wamejaa, ukienda Swaziland kibaooooo, sauzi huko kibao nako akinza Zenda, hahahahahaha Malawi so we conquered many a tribe. Wakati mfalme Zulu anatawala kule bondeni alikuwa katili mnooo so tukalala mbele kutafuta vibonde wetu na sie, so tutapiita kooote tukaja ishia Songea hapo. sisi tuna watani wengi sana wakiwemo wafipa, wanyamwezi, wasukuma wahehe, wapogoro, wazaramo wamatumbi, wahyao na wengine wengi tu huko kote tulipiga na kusambaratisha na wakaacha njia. Songea bana raha sana nakumbuka Ngoma yetu swafi sana inaitwa Lizombe, kuna LIGIHU(hii ilikuwa wazee wanacheza) na ligwamba. Kuna beta hahahahaha hii tamu mnoo halafu kuna ngoma flani hivi TAMU AJABU miaka ya 80 mpaka 84-85 ilikuwa maarufu sana kwa vijana pale songea mjini ikiitwa KAMBINDI!!! fika kimolo, mateka, makambi, matogoro, luhila seko, kule Box 2 aka Songea BOYS ikifika kumi na mbili jioni ni ngoma kwa kwenda mbele. Kuna ule wimbo maarufu wa SOKONI SIENDI TENA, SOKONI SIENDI TENA NILIKUMTA BINTI MMOJA EEEEH LIWAYA AMEVAA KANGA EEEH LIWAYA KANGA SIO KANGA EEENH LIWAYA BALI ......... EEEH LIWAYA, NAMBENDO SIENDI TENA NAMBENDO SIENDI TENA.. hapo kambindi aka KAMBUSU imepamba moto halafu ilikuwa inatembea dizaini km mdundiko vile aaaaah ilikuwa raha saaaaana. Basi ule mdundo wa ndoma tulikuwa tunaupa maneno eti dombi eenh sidombi tena x3 hahahaha
 
@chimunguru,upo juu ka povu la safari ,nimekukubali.,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom