Wanga Bado Wapo

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
11.jpg
Huyu ndiye mwanamke aliyekamatwa hivi karibuni akikiwangia kivulana cha miaka 9 huko Tegeta, Umeshawahi ona mwanga wa kiume?
 
mara zote ninazoshuhudia kukamatwa kwa wanga, huwa wanakuwa ni kina mama...kulikoni???
 
unakusudia kina mama au wanawake? maana si wanawake wote ni akina mama bali akina mama wote ni wanawake

Mkuu umenikumbusha mbali usemi huu upo kwenye hesabu za function na relation tulikuwa tunasema ''all Sangas are Kingas but not all Kingas are Sangas.
 
Back
Top Bottom