Wanawake zaidi ya watatu wananitaka...

wakati unawatongoza iikuwaje? hukujua kama utakuja hitaji kubaki na mmoja, weka scale of pref utachagua mwenyewe
 
Mimi ni Mtanzania ambaye nina maisha yangu, maisha ya mapenzi yananichanganya sana kwa sababu kuna wanawake zaidi ya watatu wananikubali sana na kila mmoja ana malengo ya kuwa nami..nifanyaje wana JF ili nisiwaumize wote kati yao.?!

Watafune mmoja baada ya mwingine then wachinjie baharini. Watakuwa wamesha smell money hao!
 
Before hujaanzisha hi thread ungewauliza nao wana wanaume wangapi kila moja? ukute we ni wa 10 kwa kila moja..., mana dawa ya moto ni moto.....
 
Kati ya hao watatu wanaokupenda wewe wampenda nani???
Je anafahamu ya kuwa anapendwa zaidi ya hao wengine na unampango wa kufunga naye ndoa???
Maisha sio lele mama ya kuwa ukioa watatu utaweza kuwalea vizuri watoto na mama zao, Je uko tayari kuhudumia nyumba tatu kwa kila kitu????
NB:
Kaa chini tafakari kwani nahisi yawezekana nao pia wanapendwa na wengi kama wewe!!!! :A S-coffee:
 
Asanteni kwa ushaur wenu, kiukwel hao wacchana wanajigonga wenyewe kwangu wala ckuwatongoza..daaaaah
 
Mfate mmoja mmoja umwambie kuwa kuna wenzake wawili wanakupenda kama anavyokupenda.
 
sasa we me au ke mana kama ni me nadhani unajua nn maana ya kufanya maamuzi sahihi na watu wasikuamulie ww mana hawawajui hao wanawake kama unavowajua ww kwani naweza kukuambia mchukue wa kwanza kukuanza kuonesha hisia kumbe sio mkweli wa mwisho ndio mkweli sasa nani anataka lawama izo wajameni...............fanya maamuzi ya kiume kijana
 
Mimi ni Mtanzania ambaye nina maisha yangu, maisha ya mapenzi yananichanganya sana kwa sababu kuna wanawake zaidi ya watatu wananikubali sana na kila mmoja ana malengo ya kuwa nami..nifanyaje wana JF ili nisiwaumize wote kati yao.?!

"NINA MAISHA YANGU"- Hapo umeshatanguliza misifa/prestige, huenda wakawa wanakupenda kwa hizo fahari/utajiri/mali ulizonazo.
ANYWAY,kupendwa ni kawaida sana kaka angu, usiamplify ikaonekana kupendwa na wanawake ni kitu kimoja unique,kawaida sana,wala isikubweteshe. Cha msingi chagua mtu ambaye unamfeel,anajua maisha ni nini, unayemuona ana mapenzi ya dhati,UTAMJUA TU KATIKA HAO WOTE ULIOTUTAJIA. wa kukuchuna utawajua tu,hmjakaa muda ,atataka umtoe out,mara umnunulie kitu flani cha gharama,ambazo kama ingekuwa ni kutoa hela yake wala asingethubutu,ila kwakuwa ni ya kwako IT IS ALRIGHT,NAKADHALIKA
PLEASE! DONT PLAY WITH SOMEONE'S FEELINGS,kama mtu haumtaki,usimuentertain,wala kumpotezea muda wake, kuwa tu muwazi kwake,usije ukarogwa bure au kuletewa mikosi ktkt maisha na kazi zako kwa kumpotezea mtu muda ,
 
Back
Top Bottom