Wanawake wenye bikra wapo wengi sana zanzibar hata wasomi wa chuo kikuu

kitu kimoja tu(bikra) ndo kigezo kweli cha kupata mke kwa msomi kama ww????

kumbuka ndoa inahitaji vitu vingi sana na si mapenzi tu(ingawa ina asilimia nyingi)
 
Mkuu wewe wataka bikra ya kuoa????
Wenzako wanatafuta wanawake wenye heshima, upendo wa kweli ambaye mtaweza kuendana kwa vitu vingi.
Hivi wewe ni bikra :wacko:?? au watafuta bikra tu bikra sababu hujawahiona?
Nakutakia kila la kheri ktk kutafuta "bikra ya kuoa".

Mkuu Hebu Mshtue Huyu!
 
Ni kweli kabisa, ila tigo zao hazina bikra kwa sababu wapo radhi kutoa tigo kuliko k.
 
Nikiwa katika miaka ya balehe niliwasikia wazee wakijisifu kuwa katika zama zao walikuwa wanaoa wanawake wabichi kabisa yaani bikra. Waliendelea kusema kuwa siku hizi vijana wetu wanakula makapi. Sikuweza kuchangia hoja kwa sababu sikuwa mmoja wao katika mazungumzo yao ila tu nilisikia kwa kuwa nilikuwa pembeni ya nyumba na wao hawakiniona.

Habari ile nilimuuliza kaka ambaye niliweza kumkabili kutokana na ukaribu wake kwangu licha ya kuwa alikwisha oa. Alinifahamisha nini maana ya bikra baada ya kuniuliza swali kuwa nimeshaanza mapenzi au laa. Alinieleza kwa lugha ya staha ambayo sikupata jibu zuri la moja kwa moja. Nilipata ufafanuzi zaidi kijiweni kwa washikaji.

Nilidhamiria nikikua lazima nioe bint bikra na msomi, sikutaka kula makapi ili nami nijinasibu kama wale wazee siku za usoni. Kwa sasa nimemaliza chuo kikuu nina degree, nimeona kabisa ndoto yangu imepotea. Kwa kuwa kaka bado yupo, niliamua kumkata stimu kwa kumkumbusha lile swali la wakati nikiwa balehe. Kaka alicheka sana kisha akajibu kwa mzaha kuwa kama unataka bikra nenda Zanzibar huko ziko nyingi sana wanazitunza hadi waolewe, akaishia hapo bila shaka alihisi kama sikuwa serious.

Wanajamvi naomba mnijuze, je ni kweli kwa yafuatayo:-
1. Je ni kweli Zanzibar kuna bikra za kumwaga?
2. Je wanatumia njia gani hawa kuzitunza bikra hadi umri mkubwa wakati vishawishi na utandawazi ni mkubwa kwa
sasa?
3. Vijana wa kiume wa Zanzibar wanajipoza wapi au nao wana mbinu mbadala ya kukidhi haja zao za mwili?

Nisaidieni ili kama kuna uwezekano niandae nauli na nianze mchakato wa kupata kitambulisho ili niende Zanziba nikaibue bikra ya kuoa

Mkuu, kama interest yako ni bikira tu mbona utazipata nyingi tu. Lakn ukiingia deep kidogo na kujua ni jinsi gani hizo bikra zimetunzwa hadi wewe ukaikuta....nadhani utakuwa umejifunza mengi. Kule Tanga(miaka ya nyuma) ni heshma binti kuolewa na kukutwa bikra,kwa sbb siku ya ndoa anapokutana na mme kwa mara ya kwanza kitambaa cheupe huwekwa kitandani wakati wa ''shughuli'' na ile damu ikaingia/ikatapakaa pale. Kisha kinabibi wanachukua kile kitambaa na kupita mitaani na wakionyesha kile kitamba mitaani huku wakiimba ''aaee kibeleko, njoo utazame kibelekooo''(wale wa Tanga ya kale wajua hlo).
Sasa,ilikuwa ada kinabibi kuzitengeneza hzo atiii(zachakachuliwa). Na mabinti walikuwa wanazitunza na mapenzi wanafanya,sasa jiulize ''mapenzi wanafanya na bikra zinakuwepo''. TAFAKARI MKUU.
 
Kila nikienda kule zanzibar, nawala mabinti wazuri kweli, ila kwa kuwapumulia kisogoni..
 
Nikiwa katika miaka ya
balehe niliwasikia wazee wakijisifu kuwa katika zama zao walikuwa wanaoa
wanawake wabichi kabisa yaani bikra. Waliendelea kusema kuwa siku hizi
vijana wetu wanakula makapi. Sikuweza kuchangia hoja kwa sababu sikuwa
mmoja wao katika mazungumzo yao ila tu nilisikia kwa kuwa nilikuwa
pembeni ya nyumba na wao hawakiniona.

Habari ile nilimuuliza kaka ambaye niliweza kumkabili kutokana na
ukaribu wake kwangu licha ya kuwa alikwisha oa. Alinifahamisha nini
maana ya bikra baada ya kuniuliza swali kuwa nimeshaanza mapenzi au laa.
Alinieleza kwa lugha ya staha ambayo sikupata jibu zuri la moja kwa
moja. Nilipata ufafanuzi zaidi kijiweni kwa washikaji.

Nilidhamiria nikikua lazima nioe bint bikra na msomi, sikutaka kula
makapi ili nami nijinasibu kama wale wazee siku za usoni. Kwa sasa
nimemaliza chuo kikuu nina degree, nimeona kabisa ndoto yangu imepotea.
Kwa kuwa kaka bado yupo, niliamua kumkata stimu kwa kumkumbusha lile
swali la wakati nikiwa balehe. Kaka alicheka sana kisha akajibu kwa
mzaha kuwa kama unataka bikra nenda Zanzibar huko ziko nyingi sana
wanazitunza hadi waolewe, akaishia hapo bila shaka alihisi kama sikuwa
serious.

Wanajamvi naomba mnijuze, je ni kweli kwa yafuatayo:-
1. Je ni kweli Zanzibar kuna bikra za kumwaga?
2. Je wanatumia njia gani hawa kuzitunza bikra hadi umri mkubwa wakati
vishawishi na utandawazi ni mkubwa kwa
sasa?
3. Vijana wa kiume wa Zanzibar wanajipoza wapi au nao wana mbinu mbadala
ya kukidhi haja zao za mwili?

Nisaidieni ili kama kuna uwezekano niandae nauli na nianze mchakato wa
kupata kitambulisho ili niende Zanziba nikaibue bikra ya kuoa

mwanamke heshima
mwanamke kumjari mmewe
mwanamke kujari familiya
mwanamke kuwaheshimu wazazi wa pande 2
mwanamke usafi,
mwanamke mcheshi,
mwanamke mpenda watu/ ndugu pande 2,
mwanamke mcha mungu,
mwanamke kujiheshimu,
mwanamke kuwa mbunifu,
mwanamke KUJIAMINI.

mengine yoteeeee mbwembwe.
 
Nilisoma na mzenji moja alisema wana tunzaga bikira zao kwa kutoa mtandao wa tigo 0713...
 
Njia wanayotumia ni kutoa nyuma mbele wakiendelea kukutunza
 
Wanajamvi naomba mnijuze, je ni kweli kwa yafuatayo:-
1. Je ni kweli Zanzibar kuna bikra za kumwaga?
2. Je wanatumia njia gani hawa kuzitunza bikra hadi umri mkubwa wakati vishawishi na utandawazi ni mkubwa kwa
sasa?
3. Vijana wa kiume wa Zanzibar wanajipoza wapi au nao wana mbinu mbadala ya kukidhi haja zao za mwili?
Wafanyie kipimo cha marinda
 
Nikiwa katika miaka ya balehe niliwasikia wazee wakijisifu kuwa katika zama zao walikuwa wanaoa wanawake wabichi kabisa yaani bikra. Waliendelea kusema kuwa siku hizi vijana wetu wanakula makapi. Sikuweza kuchangia hoja kwa sababu sikuwa mmoja wao katika mazungumzo yao ila tu nilisikia kwa kuwa nilikuwa pembeni ya nyumba na wao hawakiniona.

Habari ile nilimuuliza kaka ambaye niliweza kumkabili kutokana na ukaribu wake kwangu licha ya kuwa alikwisha oa. Alinifahamisha nini maana ya bikra baada ya kuniuliza swali kuwa nimeshaanza mapenzi au laa. Alinieleza kwa lugha ya staha ambayo sikupata jibu zuri la moja kwa moja. Nilipata ufafanuzi zaidi kijiweni kwa washikaji.

Nilidhamiria nikikua lazima nioe bint bikra na msomi, sikutaka kula makapi ili nami nijinasibu kama wale wazee siku za usoni. Kwa sasa nimemaliza chuo kikuu nina degree, nimeona kabisa ndoto yangu imepotea. Kwa kuwa kaka bado yupo, niliamua kumkata stimu kwa kumkumbusha lile swali la wakati nikiwa balehe. Kaka alicheka sana kisha akajibu kwa mzaha kuwa kama unataka bikra nenda Zanzibar huko ziko nyingi sana wanazitunza hadi waolewe, akaishia hapo bila shaka alihisi kama sikuwa serious.

Wanajamvi naomba mnijuze, je ni kweli kwa yafuatayo:-
1. Je ni kweli Zanzibar kuna bikra za kumwaga?
2. Je wanatumia njia gani hawa kuzitunza bikra hadi umri mkubwa wakati vishawishi na utandawazi ni mkubwa kwa
sasa?
3. Vijana wa kiume wa Zanzibar wanajipoza wapi au nao wana mbinu mbadala ya kukidhi haja zao za mwili?

Nisaidieni ili kama kuna uwezekano niandae nauli na nianze mchakato wa kupata kitambulisho ili niende Zanziba nikaibue bikra ya kuoa
Hawa huwa wanakua wamekufa marinda yote hili liko wazi.
Zanzibar mnajitahidi sana kuipromote lakini ndio chimbuko la usenge, chimbuko la vijana ambao shule hakuna kichuani, chimbuko la ujinga mwingi hata wa kudini mfano kumnyima mtu kula hadharani wakati wa Ramadhan, huu ni ujinga.
 
Back
Top Bottom