everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,627
- 15,017
Nakubaliana na we japo siko kwenye ndoa lakini nimekuwa na amani Sana pale tunapoachana na mtu kwa amani na kusameheana.Nafarijiwa sana na Maneno ya wakolosai 3:12-13,pia waweza soma 1petro 3:1-13 lakini kwa hii mada mstari wa 8 na 9 umeleeza vyema.Nakutakia wkend yenye amani ya MUNGU.
Ameeen, asante sana nawe pia uwe na weekend njema .