Wanawake wengine hawajui kusamehe

Lkn bado hatujui kosa la marehemu. Pole kwa wanandugu na marafiki, tujifunze ni vzr ujue personality ya mtu wako ili usipatwe na kisa cha kutosamehewa.

Hivi inajua wanawake wengine ni vigumu sana kusamehe, na wengine ni kutokana na nature tu ya akili zao?
 
Mhh!! Maskini jamani inaumiza sana, watoto washakosa baba, katika vitu namshukuru Mungu kaniwezesha ni Kusamehe kama Biblia inavyosema jua lisizame una uchungu moyoni hilo nazingatia sana siku haipiti na likiwa zito kabisa kabisa kiasi kwamba sina jinsi siku 3 mwisho baada ya hapo ni amani amani hata kama sijaombwa msamaha natangaza mwenyewe na maisha yanasonga mbele .
Kusamehe ni kanuni,UMEBARIKIWA.
 
Nimehuzunika mnoo jamani huyo kaka alikuwa so real may his soul rest in peace ila huyo mwanamke nafsi yake itapiga kelele mpk anaingia kaburini
 
Sina hakika kama mama huyu anatambua kiini cha kifo cha mme wake
Wanawake wengi wakikosewa huwa ningumu kusamehe na kasahau na mda mwingine wanafika mbali kwenye malipizi.
Kwa wakristo tunakumbushwa kusamehe ili nasisi tusamehewe mbinguni
R.I.P Rob mungu atahukumu sawa sawa na mapenzi yake
 
pole kwa wafiwa, ila mwanamke kutosamehe kutakua na sababu kubwa mtoa mada hajaisema.
r.i.p rob
 
Sijajua marehemu alifanya kosa gani ila ni la uzinzi inahitaji mcha Mungu sana kusamehe. Makosa mengine yanasameheka kirahisi lakini sio uzinzi. So huyo mama kama hakimsamehe akiwa hai usitegemee hata kifo kitamuuma maana tayari roho yake ilishakufa ganzi. Hiyo chuki na laana ya huyo mama ndio iliyomuua huyo baba hakuna kitu kibaya kama kumuumiza mtu uliapa nae kwa Mungu tunalaanika vibaya sana kwa kuwaumiza.
 
sijakuelewa bibi...
 
Du kila mtu anaomba apate mwenza mwema!!!!Tuombe atupe wenza sahihi tutakaoweza kuendana na,kuchukuliana,kubebana n.k
 
Back
Top Bottom