Wanawake wengi siku hizi wanajiuza indirect

Point ni ileile. We are
the victims of our own lust. Laiti tungeweza kujidhibiti na tamaa zetu ,wala hao ladies wasingekuwa hivyo walivyo.
 
Kumekua na kipaumbele cha pesa kwenye mahusiano mengi sana siku hizi kutoka kwa hawa wanawake wetu tunaowaita wapenzi, baby, honey, laazizi, mahabuba, nyonga mkalia ini,asali wa moyo na majina mengine kadha wa kadha....
Jiwe umetupa gizani limewapata

Itoshe kusema hii tabia asilimia 70 ya wanawake wanazo hii tabia

Dawa Yao ni kujaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku wanaume tukiamua kwa dhati kuidharau ngono wanawake wata adjust vizuri tu. Tatizo si wanawake ni wanaume.

Na wanaume wengi ndo wame commercialise mapenzi mana ndo wanaojiingiza King. Sabab kubwa ni uanaume umekuwa sifa adimu sana. Wengi wana tu sehem za siri za kiume. So wanaonyesha kuwa ni wanaume kupitia kuhonga kwa vipigo vya hapa na pale.

Mwanaume og akiambiwa matumiz ya ovyo yu straight kukataa na atatoa kwa mambo ya maana na ndan ya bajet yake. Kuwa hivi lazma uwe mwanaume si tu uwe na sehem za siri za kiume.

Ndo maana leo hii mtu hajapigwa roba anatoa hela au kitu alaf unakuta analia lia na kukalama kama kadhulumiwa. Wanawake wamezid kujitambua. Wanaume wamezid kuwa mdebwedo!

Kuhudumia hakutaisha lakin hoja ni unatoa..nini! kwa nani! kias/kiwango gani! kwa nini!

Hata hivyo, wanawake hatimaye wataathirika maana wanaume watawageuza bidhaa za kukojolea tu wakat afya yao i katika hisia.

....LOVE WAS MADE FOR WOMAN
....SEX WAS MADE FOR MAN
LOVE RESPONSIBLY!
 
Kiufupi wanawake thamani yao hawaijali tena. Yaani kitoto cha 2000 nimekiomba tu namba kuchati nacho siku mbili tayari kina shida ya 50000. Na hapo sijaomba mbususu. Hali ishakuwa tete sana katika haya masuala jamani.
Na wanaume kamili tumebaki wachache sana.

Yaan unaombwa elf 50 unakuja kulalamika, tena umeombwa kwa sababu ya tamaa zako mwenyewe na udhaufu wako wa kupenda penda hovyo?

Muwe mnakaa kimya sometimes kuficha upuuzi wenu
 
Sijalalamikia hela boss, nashangaa anaeomba. Yaani nikiangalia hata shida ya 5000 hana lakini anataka 50000
 
50K
FB_IMG_17007368976576542.jpg
 
Shida ni kitoto cha 2000, kinakaa kwao kula kulala, 50,000 kinapeleka wapi kama sio kukalilishwa mpime mwanaume kwa kuomba hela.

Hicho kitoto cha 2000 sasa hivi kina miaka 23 na it’s obvious kina mahitaji yake binafsi mbali na kula kulala nyumbani kwao. Mpe hela mkuu
 
Kiufupi wanawake thamani yao hawaijali tena. Yaani kitoto cha 2000 nimekiomba tu namba kuchati nacho siku mbili tayari kina shida ya 50000. Na hapo sijaomba mbususu. Hali ishakuwa tete sana katika haya masuala jamani.
Wanajua hakuna upendo bali ni tamaa tu.. Hivyo anakupiga ndefu ili ukimbie.. Vikikupenda vinakupa bure na pesa juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekiita kitoto ndio maana na kenyewe kamekuona mubaba na hiyo 50k ipo ndani ya uwezo wako..
Nenda na flow mkuu maana hata wewe huitaji cha ziada zaidi ya sex
 
Nilishaandika politely, wanawake ni omba omba

Kiufupi wanawake thamani yao hawaijali tena. Yaani kitoto cha 2000 nimekiomba tu namba kuchati nacho siku mbili tayari kina shida ya 50000. Na hapo sijaomba mbususu. Hali ishakuwa tete sana katika haya masuala jamani.
Huyo sio mtoto ni mwanamke? Kama kazaliwa 2000 anamiaka 23! Ni mke wa mtu na watoto wawili huyo!
 
Back
Top Bottom