Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 1,969
- 5,919
Ndugu zangu niwatakie heri na baraka tele za mwisho wa mwaka 2023. Mwaka 2024 tusikwepe wanawake wazuri tuhakikishe tunawaoa na wao pia ili kumbana shetani akose sampuli za kutumia kuangamiza hii taasisi ya ndoa.
*Moja kwa moja kwenye uzi
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, maana tumepewa maarifa na kuyakataa tukafata akili zetu duni na tamaa za mioyo yetu na kuiacha njia iliyo sahihi ya kuishi na wanawake kwa akili na kuamua kutumia nguvu kuwa kwepa wanawake wazuri na kujidanganya kuoa wanawake wenye mionekano ya kawaida huku tukimwachia shetani nafasi ya kuwatumia wanawake wazuri kutuharibia ndoa zetu.
Hawa wanawake wazuri wamekua ni mapambo ya dunia hii na kivutio kikuu kwa wanaume na vijana wa dogo wanao balehe, tena makalio makubwa na chuchu saa sita yamekua ndiyo mali asili kiasi cha kufanya wanawake wengi kutaka kuwa na makalio makubwa na vichuchu saa sita, huku wengine wakijipiga picha wakiwa wamebinua makalio na kunyanyua vifua ili wanaume tuone na tuvutiwe nao
Ndugu zangu mbali na uwepo wa wanawake wazuri duniani toka enzi na enzi, kwa haraka haraka ukiangalia na kuchunguza sana wake wa baba zetu huwezi kuta wazee wetu walioa pisi kali kali, wengine huwezi kuta wamedumu muda mrefu kwenye ndoa na pisi kali kwa sababu ya hofu ya kuchapiwa na heka heka za miruzi ya huku na huko, wengi walio risk kwa warembo waliishia kuachana vibaya na hata wengine kuuana na kuacha vilema kwa wivu wa mapenzi na usaliti wa hali ya juu
kwa vijana wa kileo pia tunaona linapofika swala la kuoa utasikia wanaume (kijana) wakiambizana huku wakihimizana oa mwanamke wa kawaida , ukioa mzuri sana na mwenye kalio lake unaolea kijiji huyo ni cha wote atakusumbua sana. wengine wanafikia kujiapiza na kusema nitaoa mwanamke wa kawaida tena kipotabo , hawa pisi kali na msambwanda chura siutaki ni kujitafutia presha huku shetani akimuambia wanawake wazuri ni wakufanyia mauzo tuu huko nje.
Ukweli ni kwamba utaoa huyo wa kawaida unayemtaka ila shetani hatokuacha na hiyo ndoa yako atahakikisha anawavuruga mpaka muachane na uone ulikosea kuchagua mwanamke mwenye muonekano mzuri, shetani atamfanya huyo mkeo wa kawaida uliye muoa baada ya mimba ya kwanza naya pili umchoke umuone kituko, mzee, umuone kajazia na nyama zina ning'inia huku na huko tena umuone hapendezi na hajipendi baada ya kuzaa
Ndugu mwanaume tena ni wakumbushe ukisha muoa huyo mwenye sura ya baba yake ili utulie nae , shetani atakutesa vibaya sana na tamaa za nje , atakufanya uone huyo wako wa ndani kafubaa ana matritri ndala na hapo hapo ukiwa njiani atakupitishia karibu yako warembo wazuri wenye macho na sura kama za malaika tena zile za kike haswa na wenye chuchu saa sita , chuchu kozi , chuchu zinazo ita zenyewe na kukupumbaza vibaya sana ili tuu uanze kuchepuka mpaka mkeo akufumanie amani ya ndoa yenu itoweke.
Shetani bado hatokuacha atakuletea pisi kali zenye mahipsi mazuri , ngozi nyororo na sauti tamu, viuno vilivyo pangika ili akuvurugie amani ya ndoa yako na mwishowe muachane kwa ugomvina kumchoka mkeo, shetani atahakikisha umetekwa huko nje na mtoto mzuri mpaka usahau ndoa yako.
kwa upande wa mwanamke shetani atamletea huyo wife material wako mwenye sura na mvuto wa kawaida vijana wa hovyo tena wa bodaboda wenye tamaa mbaya ili wakuchapie na ujisikie vibaya kuchapiwa mwandani wako mwenye sura ya baba yake na mwishowe mfarakane na kuachana vibaya.
wanawake wazuri sana na wenye chura, hipsi nzuri, vifua vya kumetameta na ngozi nyororo shetani hatokuacha nao mbali hakika atakuletea makazini, barabarani , vijiweni atawapitisha na mwishowe uanze kumuona mama watoto wako yupo rafu asiye jiweka smart baada ya kumuoa na kuanza kumchoka kabisa huku ukianza kuchepukia kwa watoto wazuri, mbaya zaidi atakuletea vibinti vidogo vya shule au chuo ili vikuchanganye na ubichi wao uchanganyikiwe uvuruge ndoa yako na mwishowe muachane
Shetani atahakikisha atakuletea marafiki walevi wenye wanawake wazuri wakula nao maisha, wapenda pombe, disco na club ili wakuvute ufungamane nao na uchelewe kwenda nyumbani, mkeo akikuuliza ulikua wapi shetani anakujaza hasira na kukunyima hekima ili umropokee mkeo akasirike akubanie mapaja alafu akuongoze ukatafute pisi kali usuuzie rungu huko nje akamilishe lengo lake la kukuvurugia ndoa yako na isambaratike kabisa.
Shetani hatowaacha nyie mnao oa wanawake wa kawaida, mkae mkijua hakika shetani atawatumia wanawake wazuri na wenye makalio makubwa kama daraja la kusambaratisha hiyo ndoa yako vipande vipande
kumdhibiti shetani na kuimarisha hii taasisi ya ndoa ni kumuomba Mungu atuepushe na huyu jamaa lasi hivyo miaka 50 ijayo hakutokuwa tena na hii taasisi ya ndoa kutakua ni vurugu tupu. pia wanaume halikadhalika ni kuhakikisha tuna waoa na hawa wanawake wazuri na warembo nakuwaweka ndani kuwatawala kwa akili, kuwapa majukumu ili shetani akose wanawake wa kuwatumia kama njia ya kutuvurugia ndoa zetu, hakikisha usimkwepe mwanamke mwenye muonekano mzuri na kujisemea unaoa wa kawaida, huyo mzuri unayemkwepa hakika atakuja kuivuruga ndoa yako kwa style ya mchepuko