Wanawake wanaowatwanga waume/wanaume zao!?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Imenifanya nijiulize:

a. Inasababishwa na nini?
b. Inafikaje hadi mwanamme anamtwanga mumewe/mpenzi wake
c. Ukitwanga na mwanamke unaenda kushtaki au kumwambia mtu?

Nimesema hivi kwa sababu niliwahi kusoma kwenye maandiko mahali fulani kuwa "ni bora kukaa kwenye kona darini kuliko kukaaa kwenye nyumba pana na mwanamke mgomvi!"...
 
Jukumu la kusimamia familia amepewa mwanaume,kama itayumba mwanaume ndo mjinga na ni laana kutawaliwa na mwanamke mpaka kufikia kutwangwa!Kwani unakuwa hujatimiza jukumu ulilopewa na Mungu la kusimamia familia!
 
wewe kulala kulala
akili nehi
afu uchokoz/unaleta ujinga na upumbavu wakat MKEO ANAITWA NYAMBURA THEN MJEDA y not asikudunde?

mwenyewe nkitaka kuolewa natafuta kamwanaume kembambaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ikg 30 ivi ili kakinichokoza nikanyuke vyema:bange:
 
Pia maandiko hayo yalikuwa yanamaanisha kuwa maisha na mwanamke mgomvi hayaendi ni bora ukatafuta ustaarabu mwingine,utawaharibu watoto na ni balaa kubwa kushuhudia baba anatwangwa na mama,baba anaaminiwa na watoto hata wakitishiwa huko nje huwa wanasema nitakusema kwa baba,wakiamini baba ni mpango mzima,halafu wakuone unatwangwa na mama?Hiyo balaa!
 
Imenifanya nijiulize:

a. Inasababishwa na nini?
b. Inafikaje hadi mwanamme anamtwanga mumewe/mpenzi wake
c. Ukitwanga na mwanamke unaenda kushtaki au kumwambia mtu?

Nimesema hivi kwa sababu niliwahi kusoma kwenye maandiko mahali fulani kuwa "ni bora kukaa kwenye kona darini kuliko kukaaa kwenye nyumba pana na mwanamke mgomvi!"...

Hivi bado kuna wanaume wanopokea kichapo kutoka kwa wake zao? Ukiona mwanaume anakubali kupigwa na mkewe ujue ana matatizo!
Mwanaume always ni kichwa cha familia, ndio mfanya maamuzi!
 
wewe kulala kulala
akili nehi
afu uchokoz/unaleta ujinga na upumbavu wakat MKEO ANAITWA NYAMBURA THEN MJEDA y not asikudunde?

mwenyewe nkitaka kuolewa natafuta kamwanaume kembambaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ikg 30 ivi ili kakinichokoza nikanyuke vyema:bange:
hahahahaah.......you have made my day
 
hahha hhaahh...sasa unataka nichague kibonge km massawe kitambi ngoooo kajazia kila sehemu ili anidunde fresh....ahh nakwambia qualifcation ya kwanza kg 30 akizid apo anifai........:israel:
 
hivi bado kuna wanaume wanopokea kichapo kutoka kwa wake zao? Ukiona mwanaume anakubali kupigwa na mkewe ujue ana matatizo!
Mwanaume always ni kichwa cha familia, ndio mfanya maamuzi!

r u sure? Always?

Currently its reported kuwa wanaume wengi wamekuwa wanatoa taarifa ya kuongezeka kwa vitendo vya kupigwa na wake zao.

Inamaanisha vichapo vilikuwepo na vinaongezeka.
 
Hivi bado kuna wanaume wanopokea kichapo kutoka kwa wake zao? Ukiona mwanaume anakubali kupigwa na mkewe ujue ana matatizo!Mwanaume always ni kichwa cha familia, ndio mfanya maamuzi!
Utawasikia sasa hivi wanadai eti mfumo dume huu!
 
Mwanakijiji..................Hili swali lako haliwezi kuwekwa kwa jinsia zote? Kwa nini mwanaume naye ampige mkewe/mpenziwe?
 
Its just another form of abuse, hata hao wanawake wanaopigwa baadhi yao wakipata nafasi wanatamani kuwadunda wanaume zao.... ni malezi na makuzi tu, uwe dume au jike
 
wewe kulala kulalaakili nehiafu uchokoz/unaleta ujinga na upumbavu wakat MKEO ANAITWA NYAMBURA THEN MJEDA y not asikudunde?mwenyewe nkitaka kuolewa natafuta kamwanaume kembambaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ikg 30 ivi ili kakinichokoza nikanyuke vyema:bange:
Umenichekesha weye, kuna wenye kilo ndogo ila watata kweli angalia usije ukadundwa wewe...
 
Miaka hii hakuna anayekubali na mtadundana tu, na ukikaa vibaya baba utadundwa vizuri tu.
 
Umenichekesha weye, kuna wenye kilo ndogo ila watata kweli angalia usije ukadundwa wewe...
<BR><BR>ehh kwan ntakubali anioe b4 sjamtest?<BR>kwenye uchumba uku uku yaan ntakuwa namchokoza kwa udi na uvumba mpk anyanyue mkono wake then apo apo naanza kuwa dada van dame na ikitokea kanidunda bas nanuna na uchumbaunakufa apo ..ikitokea nimemdunda manundu kibao basi nambembeleza na dina namtoa nakwambia nakulala ntamtoa tukalale movenpick ivi au safar ya zenj ntaifanya fasta....MAPENZ YATAZID..lakin akinidunda ahh imekula kwake   NTAMNUNIA MWAMZO MWSHOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!
 
Tabia mbaya sana halafu inakushushia heshima,kwanini kwa mwanamke inaonekana ajabu wakati vipigo vingi vinatoka kwa wanaume kwenda kwa wake zao.
 
Utawasikia sasa hivi wanadai eti mfumo dume huu!
wanabonwa saaana lakini wanaona noumer kushtaka tehetehe one day nilikuwa nipo kituo kidg cha police tbt likaja libaba linadai limebondwa na mkewe! askari wakamuliza sa tukusaidiaje bwana jamaa linalalamika eti mkewe anangv lilikuwa laogopa krd home loool
 
hahha hhaahh...sasa unataka nichague kibonge km massawe kitambi ngoooo kajazia kila sehemu ili anidunde fresh....ahh nakwambia qualifcation ya kwanza kg 30 akizid apo anifai........:israel:

duh hapo hakuna mind
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom