Wanawake wanaowatwanga waume/wanaume zao!?

Mhh,

Hilo ni janga ambalo inabidi mtu aombe yasimkute...Unaweza kufuppisha maisha yako kwa style ya wanyalu!!

ehh kwan ntakubali anioe b4 sjamtest?
kwenye uchumba uku uku yaan ntakuwa namchokoza kwa udi na uvumba mpk anyanyue mkono wake then apo apo naanza kuwa dada van dame na ikitokea kanidunda bas nanuna na uchumbaunakufa apo ..ikitokea nimemdunda manundu kibao basi nambembeleza na dina namtoa nakwambia nakulala ntamtoa tukalale movenpick ivi au safar ya zenj ntaifanya fasta....MAPENZ YATAZID..lakin akinidunda ahh imekula kwake   NTAMNUNIA MWAMZO MWSHOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!

Kuna mwingine atakubali kudundwa cause anataka kukuoa........ baada ya ndoa anakuwa john cina

Jamani mlisahau kuna mtu aliweka video ya kule Kenya jamaa akiruhusiwa nyumbani kwa ajili ya huduma tu "muhimu".. Ni kitu gani kinachomfanya mwanamke ampige mumewe? Wengine hasa kufinya finya hivi.. au maneno mabaya.. Niliwahi kumuona mtu anamporomoshea mumewe matusi ya hadharani utadhani ulikuwa ni mto wa matusi.. !!

Vidume vingi vinavyo dundwa hujifanya vibabe huko mutaani
na wakati wa kudundwa utasikia kelele zao kama
nitakuua we mwanmke,ili nje wajue yeye ndo anamdunda mkewe...lol

ehh kwan ntakubali anioe b4 sjamtest?
kwenye uchumba uku uku yaan ntakuwa namchokoza kwa udi na uvumba mpk anyanyue mkono wake then apo apo naanza kuwa dada van dame na ikitokea kanidunda bas nanuna na uchumbaunakufa apo ..ikitokea nimemdunda manundu kibao basi nambembeleza na dina namtoa nakwambia nakulala ntamtoa tukalale movenpick ivi au safar ya zenj ntaifanya fasta....MAPENZ YATAZID..lakin akinidunda ahh imekula kwake   NTAMNUNIA MWAMZO MWSHOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!
Kama si tafsida basi umetumia lugha ngumu , lakini niko tayari kwa jinsi nilivyokuelewa bibieeee!!!

Jamani mlisahau kuna mtu aliweka video ya kule Kenya jamaa akiruhusiwa nyumbani kwa ajili ya huduma tu "muhimu".. Ni kitu gani kinachomfanya mwanamke ampige mumewe? Wengine hasa kufinya finya hivi.. au maneno mabaya.. Niliwahi kumuona mtu anamporomoshea mumewe matusi ya hadharani utadhani ulikuwa ni mto wa matusi.. !!
Haaaaaaaaaaaaaaaaa! Mwanakijiji kweli???

Imenifanya nijiulize:

a. Inasababishwa na nini?
b. Inafikaje hadi mwanamme anamtwanga mumewe/mpenzi wake
c. Ukitwanga na mwanamke unaenda kushtaki au kumwambia mtu?

Nimesema hivi kwa sababu niliwahi kusoma kwenye maandiko mahali fulani kuwa "ni bora kukaa kwenye kona darini kuliko kukaaa kwenye nyumba pana na mwanamke mgomvi!"...
Mzee Mwanakijiji we' ni jirani yangu nini!? Mwenzio mambo sio huku, ka' vp nilipotie Polisi maana mmh!! naumia

Similar Discussions

Back
Top Bottom