Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
Kuna hii tabia wanawake wanaact kama masela, namna kuongea,kutembea body structure ya kiume kula mirungi ,fegi,hata pamba zao, kwani mwanamke kivaa uhusika wake aringie/atumie sauti yake nzuri, mapoozi, aibu ya mbali si unankazia macho ,tikisa/lainisha mwili wako usiwe mjeshi mjeshi,haki sawa si mwanamke kuwa kama mwanaume bali kutumia jinsia yake kujiwakilisha kama ilivyo!