Ukweli usemwe: Wanawake wameiharibu Dunia imekuwa kama shimo la choo

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,718
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!

Kuna msemo mmoja wa kipumbavu unasema "Mwanaume yeyote mwenye maendeleo basi nyuma yake yupo mwanamke."

Kati ya ngonjera na za kipumbavu moja wapo ni hiyo, na sijajua ni mpumbavu gani alikaa na jopo la wapumbavu wenzie wakauanzisha huo msemo.

Wanawake hawa hawa wafilisi mali, matapeli, waongo na wauaji ndiyo wafanye mwanaume aendelee?

Mwanaume tangu mwanzo alikuwa ameendelea bila uwepo wa mwanamke (rejea Eden), lakini huyu kiumbe baada ya kuumbwa kupitia nyama za Adam aliyekuwa kamili ndipo matatizo yote tunayoyaona yeye ndiye chanzo. Kwa mantiki hiyo unawezaje kuniambia kwamba kwenye maendeleo ya mwanaume na yeye anahusika?

Siku zote mwanamke ni mvuragaji na bahati mbaya sana hili watu hawalisemi, wakisimama huko kwenye majukwaa wanaanza kusifia mambo ya hovyo na unafiki tu huku ukweli ukijulikana.

Mimi ni moja ya watu wanao ikubali ndoa na pamoja na kuikubali ndoa lakini matatizo makubwa yanayofanya ndoa nyingi kuvunjika ni mwanamke mwenyewe! Huwezi kuona hili linazungumzwa mahali popote lakini wanaume ndiyo wamekuwa wakionekana wabaya mara zote.

Vijana wengi wanakataa ndoa kwasababu ya migogoro inayosababishwa kwa asilimia kubwa na mwanamke mwenyewe. Asilimia 90 ya migogoro yote kwenye ndoa chanzo ni huyu kiumbe wa ajabu.

Ukitaka kujua ni heri shetani kuliko huyu kiumbe, pata picha mko kwenye mahusiano (ndoa) halafu ukapata shida itakayopelekea wewe kulazwa hospitali takribani miezi kadhaa tu, siku ukitoka unakuta keshauza assets zako zote na kaenda kupiga usimbe kawaacha watoto wanahangaika.

Unakuta kaenda kukopa kwenye vikoba pasipo kukushirikisha, tena hela aliyokopa ni zaidi ya milioni 5, lakini cha ajabu unakuta hizo hela hajafanya jambo lolote la msingi zaidi ya kwenda kununua dera na vijora!

Muda wa kurudisha deni ndio anakwambia kuna mahali alichukua mkopo na ukiangalia hakuna cha maana alichofanya, usipokuwa makini kama mwanaume; nyumba au vyombo alivyoweka kama dhamana unaweza usivipate.

Wamekuwa wakisema kila siku kwenye makongamano yao ya kwamba "Wanawake tunaweza bila kuwezeshwa," huu msemo ni batili na naamuru kuanzia leo ufutwe kwenye vichwa vya hawa viumbe.

Mwanamke akipata kazi na wewe mwanaume una kazi mahali fulani (nyote mnafanya kazi) hela yako wewe mwanaume ndiyo itafanya kila kitu wakati huo mwenzio hata kumi yake haitoonekana!

Watoto wanaweza kurudishwa nyumbani kisa ada na mkeo akawa na pesa akashindwa kuwalipia akisubiri wewe upokee mshahara ndiyo ukalipe. Ukiuliza hela anayopokea anapeleka wapi unakosa majibu.

Wanawake hawa hawa wamekuwa wakiandamana sehemu mbalimbali za ulimwengu wakipingwa kudhalilishwa bila kusahau wao ndiyo wadhalilishaji wa kwanza kwenye miili yao. Wanavaa hovyo na kutembea nusu uchi lakini wao ndiyo wa kwanza kusema wanadharirishwa.

Hakuna mwanaume yeyote duniani amewahi kutembea nusu uchi kama wanavyoongoza wanawake, ukikuta mwanaume anatembea uchi au nusu uchi huyo atakuwa kichaa au mwendawazimu, lakini ukikuta mwanamke amevaa nguo za nusu uchi au uchi kabisa huyo unakuta anazo akili timamu kabisa.

Matatizo yote unayoyaona duniani leo,asilimia 95% yamesababishwa na mwanamke.

Wanawake embu iokoeni Dunia.

Ni hayo tu.
 
Huyu yeye anaona amevaa nguo lakini kumbe yuko uchi,huwezi kukuta mwanaume kavaa hivi
20230218_110931.jpg
 
Nimebahatika kusikiliza kesi nyingi tofautitofauti za ndoa ila mara nyingi ukianza kumsikiliza mwanamke unaweza kudhani mwanaume ni shetani hafai na unaweza ukafanya maamuzi magumu juu ya huyo mume wake

ila ukipata bahati ya kumsikiliza mwanaume unakuja kugundua kumbe mwanamke ndo hafai kabisa, wanawake wanatumia faida yao ya kuonewa huruma kutokana na jinsia yao kama fimbo kwa wanaume na ukiwapa nafasi ya kuwasikiliza upande wao tu utaamini wao ni wema ila ni watu hatari balaa
 
Nimebahatika kusikiliza kesi nyingi tofautitofauti za ndoa ila mara nyingi ukianza kumsikiliza mwanamke unaweza kudhani mwanaume ni shetani hafai na unaweza ukafanya maamuzi magumu juu ya huyo mume wake

ila ukipata bahati ya kumsikiliza mwanaume unakuja kugundua kumbe mwanamke ndo hafai kabisa, wanawake wanatumia faida yao ya kuonewa huruma kutokana na jinsia yao kama fimbo kwa wanaume na ukiwapa nafasi ya kuwasikiliza upande wao tu utaamini wao ni wema ila ni watu hatari balaa
Hali Hii niliwahi ikuta mahakama ya ilemela,, sasa mwanamke akawa anatoa maelezo huku ana mtoto mgongoni hakimu akawa anasikiliza na anaandika, aisee mama alivyomaliza kutoa maelezo nikajiapia huyo mwanaume kwa nn asiende kuishi na shetani tu kwa jinsi maelezo yalivyokuwa yakionesha jamaa anamnyanyasa mtoto na mke wake

Ikafika zamu ya mwanaume kutoa maelezo na pia kumuhoji mkewe aisee ha ha ha.. nilitengua maapizo yaan jamaa hadi kufikia ile tarehe bado ana mwanamke yule nilimwona ni legend

Mwanamke kwa sehemu alieleza kuwa jamaa amemtelekeza hana pa kulala na mtoto usiku wanalala mbele ya maduka na chakula hawana huwa anaenda karibu na mama ntilie akionewa huruma anapewa chakula na bla bla nyingi tu.

Jamaa akaeleza ana nyumba tatu moja amemwachia huyo mwanamke ile ya pili imepangishwa kodi anachukua mwanamke, nyingine anaishi yeye kila mwisho wa mwezi anatuma laki kwa matumizi ya mtoto.

Jamaa alimwambia hakimu vyote nimemwachia huyo mwanamke ila yeye anahitaji amani ya moyo na asiishi na huyo mwanamke siku zote za maisha yake.

Mwanamke alipoulizwa hayo matumizi, hiyo kodi ni kweli kama inavyoelezwa? Akajibu ndio,, hakimu akafyonza fyonyo la hatari na vile hakimu nae alikuwa mwanamke 😀
 
Huyu yeye anaona amevaa nguo lakini kumbe yuko uchi,huwezi kukuta mwanaume kavaa hiviView attachment 2521425
Haya mavazi usiwaguse kabisa maana utakuja kuambiwa kujistiri ni Mila za waarabu na wanaojistiri ndo washenzi hii kutokana na wazungu wa mbagala .

Kwamba mtu anaona sawa hapo kabisa eti ni maamuzi binafsi sijui tunaenda wapi eti?
 
Hali Hii niliwahi ikuta mahakama ya ilemela,, sasa mwanamke akawa anatoa maelezo huku ana mtoto mgongoni hakimu akawa anasikiliza na anaandika, aisee mama alivyomaliza kutoa maelezo nikajiapia huyo mwanaume kwa nn asiende kuishi na shetani tu kwa jinsi maelezo yalivyokuwa yakionesha jamaa anamnyanyasa mtoto na mke wake,
Ikafika zamu ya mwanaume kutoa maelezo na pia kumuhoji mkewe aisee ha ha ha.. nilitengua maapizo yaan jamaa hadi kufikia ile tarehe bado ana mwanamke yule nilimwona ni legend,
Mwanamke kwa sehemu alieleza kuwa jamaa amemtelekeza hana pa kulala na mtoto usiku wanalala mbele ya maduka na chakula hawana huwa anaenda karibu na mama ntilie akionewa huruma anapewa chakula na bla bla nyingi tu..
Jamaa akaeleza ana nyumba tatu moja amemwachia huyo mwanamke ile ya pili imepangishwa kodi anachukua mwanamke, nyingine anaishi yeye kila mwisho wa mwezi anatuma laki kwa matumizi ya mtoto.
Jamaa alimwambia hakimu vyote nimemwachia huyo mwanamke ila yeye anahitaji amani ya moyo na asiishi na huyo mwanamke siku zote za maisha yake.
Mwanamke alipoulizwa hayo matumizi, hiyo kodi ni kweli kama inavyoelezwa? Akajibu ndio,, hakimu akafyonza fyonyo la hatari na vile hakimu nae alikuwa mwanamke
Mkuu hawa viumbe wana matatizo!
 
Back
Top Bottom