Wanawake wanao "act kama masela"

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Kuna hii tabia wanawake wanaact kama masela, namna kuongea,kutembea body structure ya kiume kula mirungi ,fegi,hata pamba zao, kwani mwanamke kivaa uhusika wake aringie/atumie sauti yake nzuri, mapoozi, aibu ya mbali si unankazia macho ,tikisa/lainisha mwili wako usiwe mjeshi mjeshi,haki sawa si mwanamke kuwa kama mwanaume bali kutumia jinsia yake kujiwakilisha kama ilivyo!
 
mvuto wa kike!
Huo mvuto unapotelea wapi?!Na kama kweli ungekua unapotea mngejuaje sio nia yao kuuficha?!Mvuto wa mtu hata ufichwe na makaa kama upo utakuwepo tu.Acheni kupangia watu wengine jinsi ya kuishi maisha yao!!
 
Kwahiyo wanaovaa hivyo hawajiamini?!Wenye mawazo kama yako ndo hawajiamini maana kila unachofanya unawaza fulani atanionaje!!!
<br />
<br />
unajiaminije wakati umecopy copy ,na uhalisia wako una viraka
 
Hawa wa namna hii ogopa sana tulienda pale San Ciiro club miezi kadhaa ilopita tukakuta wawili wa hivyo walikuwa wamekaa upande wa pili wa meza yetu,akaingia totoz zuri kweli la 18-20yrs basi mmoja wao akasema leo yule lazima niondoke nae tukapigwa na butwaa.Baada ya muda akamwita waiter na kumwamuru ampe bia mbili yule binti,zikapelekwa na akapokea.
Baadae kwenda smoking room nakuta yule demu msela akimtongoza yule binti kama sisi tunavyotongoza na kweli baada ya muda akaondoka nae.
 
Sielewi unamaanisha nini, waache au wawe kama wanawake wenye hiba na huba za kike?kuna wanaume wanapenda sana matom boy wa hivo
 
Back
Top Bottom