Wanawake wameyageuza makanisa kuwa kimbilio la kupata wanaume wa kuwaoa

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Sio tu wa kuwaoa, bali hata wachumba, wapenzi au part time men. Na hii ndio sababu kuu ya kwanini wanawake wamejazana makanisani 90℅ kulinganisha na wanaume

Akili za mwanamke zinafikiri kwamba, atakapokutana na mwanaume maeneo hayo ya kanisa, mwanaume huyo hatopata mashaka ama kujiuliza mara mbili mbili kuhusu tabia za mwanamke huyo. Wanawake hao huwa na nyuso za ukarimu na sauti nyororo

Wanawake wengi utakaokutana nao ni pamoja na 30+(es), wanawake wenye watoto wadogo, vimbaumbau, mabonge kupita maelezo, wanawake wenye nyuso za majonzi, vibinti vidogo vidogo vinavyovaa nguo za kuonesha mapaja na mabinti wa kazi. Ukikutana na mwanamke ambaye yuko nje ya sifa nilizozitaja, basi huyo yuko hapo akiwa na nia ya kusali

30+(es) utakaokutana nao ndio wale ambao walipata bahati ya kupata wachumba wakaishia kuweka vigezo vya mahari na kutambulishana kabla ya tendo. Hawa walikula zawadi na nauli za wanaume na kudai kuwa mjini hakuna waoaji, hivyo walitafuta sababu zisizo na mashiko za kuachana. Wanawake hawa wana rundo la laana migongoni mwao lililowapelekea kukosa wapenzi hata wagegedaji tu hawana

Wanawake wenye watoto wadogo ni wale ambao walipata bahati ya kupendwa na wanaume wenye vision, lakini waliwakataa na kukimbilia wanaume wanaohonga, wenye miguu myembamba yenye kuvalishwa soksi nyeupe na raba. Wamezalishwa na kutelekezwa wakaona wacha wakimbilie huku kupata waume bora

Vibonge na vimbau mbau ni wale ambao wamekosa soko kwenye mitaa watokayo. Hasahasa hawa wembamba hukosa waume mtaani kutokana na tabia yao ya kujiskia pamoja na matusi ya rejareja. Hawa hawaoni tatizo kukupita bila hata ya salamu. Huwa wanavaa vijinzi vyenye mkanda kiunoni, na mara nyingi huvalia tumboni na kuchimekea. Wanawake wenye sifa hizi huwa ni wanachuo walio wengi. Kitendo cha kucharanga kimombo hujikuta wamemaliza. Binti mmoja wao naishi naye hapa mtaani. Ameshaanza kuulizia mahali kanisa la kukanyaga wese lilipo ili akapate mwanaume mwenye gari

Wanawake wenye nyuso za majonzi ni wale ambao wametoka kusalitiwa na wapenzi wao, hivyo mioyo yao imefula hasira. Ndio maana muda wa kuabudu, wanawake hawa humwaga chozi kwa hasira kali kuashiria wameumizwa. Wale wazee wa kimasihara, hapo ndipo mnatakiwa kupitia

Mabinti wadogo wadogo wanaovaa nguo za mitego wanapitia magumu katika maisha. Hivyo wanatafuta stala tu. Hawa siwapondi kwa ubaya. Wanafanya hivyo kuona kama wanaweza kuwavutia wanaume, walau wapate wa kuwatunza. Hali kadharika mabinti wa kazi, siwezi kuwasema ubaya, mola awasaidie

Ukiona mwanamke anajongea mbele kila muda kwa ajili ya kutoa sadaka ujue anasaka mume wa kumuoa. Ukiona mwanamke anapita pita mbele kutoa matangazo kila dakika, lengo ni hilo hilo

Mola atusaidie tu waja wake, wanawake wanaharibu maana halisi ya nyumba ya ibada
 
IMG_20230305_111509_135.jpg
 
Kila mtu ameandikiwa ataolewa na nani, lini, na muda gani
hata kama atafanya umalay*a akiwa na miaka 20 na kudanga Januarxm to December hata akiwa na lugha chafu, dharau, majivuno na ujuaji ?!

Wanawake mnajidanganyaga sana, mnatumia imani kuliko akili hata Mungu huyo "unaedai kama kakuandikia" anasema jiepushe na ubaya sasa wewe full maringo, dharau, kebehi, udangaji eti "umeandikiwa" ebo !! Basi huyo mwanaume ulieandikiwa ni mwanaume mpumbavu.
 
HAKUNA ENEO LILILO BAYA KUTAFUTA MCHUMBA KAMA MAKANISANI KWA SASA,ZAMANI WALIKUWA WANAKIMBILIA KWENYE KWAYA.WANA KWAYA WALIAMINIKA KWA SBB YA MIENENDO YAO. LAKINI SIO SASA, HUKO NAKO KUNA KUTIA NA KUTIWA KAMA KWENYE MADANGURO TU. UWEZO WA KUIMBA, KUTAJA VIFUNGU VYA BIBLIA, KUWA KARIBU NA VIONGOZI WA MAKANISA NDIO VICHAKA VYA KUFICHA TABIA ZAO.

KANISANI NI KUSANYIKO NA KIMBILIO LA WALE WALIOSHINDIKANA, WATUKUTU, SUGU, JEURI KIBURI,DHARAU,NA TUNA KIMBILIA HUKO KUTAFUTA FARAJA NA WENZA!.
KANISANI NDIO ENEO PEKEE KILA MTU NI MWENYE UKARIMU, HESHIMA, ADABU, UNYENYEKEVU, UTII, LUGHA NZURI-WEPESI WA KUTAMKA SAMAHANI, POLE, ASANTE AMEENI!!

WALE WALIO SABABISHA MACHOZI NA MATESO KWENYE NDOA ZA WENGINE WAKO HAPO KUTAFUTA KUTUBU, NA KUTAFUTA WENZA.(MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI). NDIO WALE WAKIINGIA KWENYE NDOA MUDA MFUPI TU, ZINAKUFA.

TUKISEMA ZAMA HIZI SIO ZA KUOA, HATUJAKURUPUKA!

MWANAUME UNA NAFASI YA KUKATAA NDOA, HUJACHELEWA!!
KWA USALAMA WA AFYA YA AKILI, MWILI NA IMANI, KATAA NDOA
 
HAKUNA ENEO LILILO BAYA KUTAFUTA MCHUMBA KAMA MAKANISANI KWA SASA,ZAMANI WALIKUWA WANAKIMBILIA KWENYE KWAYA.WANA KWAYA WALIAMINIKA KWA SBB YA MIENENDO YAO. LAKINI SIO SASA, HUKO NAKO KUNA KUTIA NA KUTIWA KAMA KWENYE MADANGURO TU. UWEZO WA KUIMBA, KUTAJA VIFUNGU VYA BIBLIA, KUWA KARIBU NA VIONGOZI WA MAKANISA NDIO VICHAKA VYA KUFICHA TABIA ZAO.

KANISANI NI KUSANYIKO NA KIMBILIO LA WALE WALIOSHINDIKANA, WATUKUTU, SUGU, JEURI KIBURI,DHARAU,NA TUNA KIMBILIA HUKO KUTAFUTA FARAJA NA WENZA!.
KANISANI NDIO ENEO PEKEE KILA MTU NI MWENYE UKARIMU, HESHIMA, ADABU, UNYENEYEKEVU, UTII, LUGHA NZURI-WEPESI WA KUTAMKA SAMAHANI, POLE, ASANTE AMEENI!!

WALE WALIO SABABISHA MACHOZI NA MATESO KWENYE NDOA ZA WENGINE WAKO HAPO KUTAFUTA KUTUBU, NA KUTAFUTA WENZA.(MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI). NDIO WALE WAKIINGIA KWENYE NDOA MUDA MFUPI TU, ZINAKUFA.

TUKISEMA ZAMA HIZI SIO ZA KUOA, HATUJAKURUPUKA!

MWANAUME UNA NAFASI YA KUKATAA NDOA, HUJACHELEWA!!
KWA USALAMA WA AFYA YA AKILI, MWILI NA IMANI, KATAA NDOA
Nimecheka kama fala 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 karv aveki hapo vipi
 
Back
Top Bottom