Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
Wanapinga wakati wao wanaonyesha bila fujo makubwa
Kwi kwi kwiii, haa haa, haa, kwanza habari ya siku best? Sorry kwa ukimya kwani sikuwepo nchini, na huko nilipokwenda kuna matatizo yalijitokeza, kuna jamaa nilikuwa nae kwenye ndege sasa zile story za hapa na pale watu wakadhani tupo pamoja, kumbe jamaa ni drug dealer aliyebobea na alikuwa under surveillance, kufika Amsterdam, tukawa arrested wote, na nikawekwa ndani, sikuwa na access na internet wala simu. Haya back to businessEntrepreneur ile project yetu imefia wapi? Lol
Wanapinga wakati wao wanaonyesha bila fujo makubwa
Haa haa haa, kama zali sasa na wao wanataka kureciprocate. Hujaona bango linasomeka "What would you do if we squeezed your balls?" Kwi kwi kwi, If you do me, I do youduh! Kushkwa shkwa nalo ni zali eeh!.
And yet they say "they respect their bodies, and expect to be respected..."Wanajidhalilisha hawa,uvue nguo ili iweje?
Kwi kwi kwiii, haa haa, haa, kwanza habari ya siku best? Sorry kwa ukimya kwani sikuwepo nchini, na huko nilipokwenda kuna matatizo yalijitokeza, kuna jamaa nilikuwa nae kwenye ndege sasa zile story za hapa na pale watu wakadhani tupo pamoja, kumbe jamaa ni drug dealer aliyebobea na alikuwa under surveillance, kufika Amsterdam, tukawa arrested wote, na nikawekwa ndani, sikuwa na access na internet wala simu. Haya back to business
Kwani hukupata mgao wako best, mbona nilituma hela kwenye ile akaunti yako ya MPESA uliyonipatia. Idea nzima niliwauzia wale wachina baada ya kubanwa na mambo mengine. Kwa sasa wao ndio wanafanya implementation, sisi tumebakiwa na ile ardhi tu, na watakuwa wanailipia rent kila mwaka
Nina mzigo wako nimepewa nikukabizi, utakuja mwenyewe au utatuma mjumbe?
nitakuja na judgement kuchukua. hujambo lawyer muuza madawa ya kulevya?
pole kwa matatizo, heeeee halafu huo uongo mwingine hata haujaniingia akilini. lol, ujiandae kujibu mashtaka yote maana kesi ishakuwa nzito.lol
Mwajei na Switledi...nataka kuona mimi
Uongo upi tena jaman partner? Sasa kama kesi si bora uwafungulie Vodacom Mpesa, kama pesa haikukufikia
Baadhi ya mabango yalisomeka hivi;
1. Next time it could be your daughter
2. Would you let what happened to Ingrid happen to the first lady?
3. What would you do if we squeezed your balls?
mbona huku kwetu ngoma nje nje...kwenye daladala tunafanya kuyalalia...hadi twapitilizwa vituo...
Actually i wouldnt really mind if a woman squeezed my balls as long as she did it gently:smile::becky:
sasa inakuaje mtu anapinga kitendo cha watu ku-abuse matiti ya mwenzao kwa wao kuya-abuse matiti yao kwa hiyari.
hapa ningewaelewa kama wangepinga kwa ku-abuse nyeti za hao wanaume maana hapo sasa si wanajikomesha wenyewe.
ooh! Sawa, huyo mtu ulipaa nae ni klorokwini ila amesema nisikwambie. Ukishasoma barua hii uichane.