Wanawake wachachamaa: Waonyesha matiti kwa kupinga mwenzao kushikwa matiti

Entrepreneur

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
1,087
620
Wanawake wa Uganda wamechachamaa, kwa kupinga mwenzao (Ingrid), kushikwa matiti wakati anakamatwa na polisi kwa kutembea kifua wazi. Tukio hili la aina yake limevuta hisia za wengi na limenikumbusha sakata la mgomo wa madaktari na arrest ya kina A.Nkya na wenzake, hasa baada ya kushikwa sehemu sehemu, tena na askari wa kiume. Angalia video hii

Wanawake wanaweza
 
Last edited by a moderator:
Baadhi ya mabango yalisomeka hivi;
1. Next time it could be your daughter
2. Would you let what happened to Ingrid happen to the first lady?
3. What would you do if we squeezed your balls?
 
za kupotea mbaya swahiba maana nakumiss sana.
Mimi haunimiss?

Bek to ze topik: hehehehe hawa wadada waseme ukweli tu bana, walijippeleka ili na wao wapate zali la kushikwa shikwa, lakini afande limeuchuna kama maiti ya mochwari
 
kipi kinadharirisha kati ya kushikwa matiti na kutembea matiti wazi (uchi)? Dunia gunia...
 
Mimi haunimiss?

Bek to ze topik: hehehehe hawa wadada waseme ukweli tu bana, walijippeleka ili na wao wapate zali la kushikwa shikwa, lakini afande limeuchuna kama maiti ya mochwari

duh! Kushkwa shkwa nalo ni zali eeh! Halafu we pia nakumiss miss.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom