Wanawake wa siku hizi bana!

Anasound kama Kifungilo type huyo..

wewe waombe masista radhi, kifungilo walikuwa hawaendi dates bar! Hata mtoto wa kifungilo akija bar hakupi presha, kwanza anakunywa soda tu. Ngoma ni namba za town,

Lakini SRSS na Aga Khan Mzizima hakukuwa na micharuko bana.

Labda unambie Kinondoni Muslim, Zanaki, Jangwani, Makongo, na Al-Aramain

Wewe wale huwajui, micharuko yao sio ya kiswazi ni kwenda sambamba na mtoni, afu mpung wanao, walikuwa wanfanya midhambi sana, hasa kwa watoto wa zanaki na jangwani!

na mimi nahisi hii ni kifungilo aisee lol

Hivi wewe wastani wa kuingia kifungilo unaujua? Linganisha na upeo wangu! Ila i realy wish nimgesoma bush huko, ningeepukwa na mengi sana ya jiji hili, ningekwa nasali zangu, maybe nimeolewa na watoto 2 tayari. Sema ndo no matter where you run your past will always find you!  Umenifanya niwaze ningesoma kifungilo ningekuwa wapi?

unataka single ladies wakae nyumbani wafanye nini?? enjoy life while you can, hayo ya watoto yatakuja after 10 pm

Umesahau kusema after 10pm nyuma ya bar ama uvunguni mwa gari wakati watu wanalewa. Mademu wengi siku hizi wanapenda kufanya ngono chini ya magari, kwenye gari, vibanda vya kuku kule kwenye bar, viwanja vya mpira, ama kushikishwa minazi na miembe wakati guest zimejaa kibao.

Couldn't help noticing... Some truth in there. All the best in changing your future.

Hivi wewe wastani wa kuingia kifungilo unaujua? Linganisha na upeo wangu! Ila i realy wish nimgesoma bush huko, ningeepukwa na mengi sana ya jiji hili, ningekwa nasali zangu, maybe nimeolewa na watoto 2 tayari. Sema ndo no matter where you run your past will always find you!  Umenifanya niwaze ningesoma kifungilo ningekuwa wapi?

Umesahau kusema after 10pm nyuma ya bar ama uvunguni mwa gari wakati watu wanalewa. Mademu wengi siku hizi wanapenda kufanya ngono chini ya magari, kwenye gari, vibanda vya kuku kule kwenye bar, viwanja vya mpira, ama kushikishwa minazi na miembe wakati guest zimejaa kibao.

Umejuaje hao mademu wanapenda kufanya ngono maeneo hayo?
Na wanafanya ngono na nani?

Aisay na wewe unaonyesha mlevi sana....Yani asubuhi uko bar, mchana uko bar na usiku uko bar....mke wako ana kazi kubwa sana :bounce:

Mtoa mada. . .
Kupika wengine hawapendi, hawajui wala hawataki kujifunza. Sasa mtu kama huyo akiwa single/mwenzi wake hajali unadhani atalala na kushinda njaa?Au pengine wako kibiashara zaidi, huwezi jua maana kama hana mwanaume wa kumpikia basi inawezekana kabisa anamtamani na hapo ndo kaona atamkwapua.

Kwahiyo unataka kuhalalisha nikikuoa nkale kwa mama lishe cz hujui au hutaki kupika??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Umesahau kusema after 10pm nyuma ya bar ama uvunguni mwa gari wakati watu wanalewa. Mademu wengi siku hizi wanapenda kufanya ngono chini ya magari, kwenye gari, vibanda vya kuku kule kwenye bar, viwanja vya mpira, ama kushikishwa minazi na miembe wakati guest zimejaa kibao.
LOL that's a hyper link.

Similar Discussions

Back
Top Bottom