Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 40,603
- 52,315
Sinkala t-shirt for me please'
Tabia za wanawake wa rukwa ninazofahamu ni
1. Hawezi kutazamana usoni na baba mkwe, hata kumsalimia kwa kumpa mkono.
2. Akimpa mume chakula atapiga magoti ale mpaka amalize ndo ainuke atoke na vyombo.
3. Kutongoza ni ile staili ya kupiga mtama, sijui wa leo ila ndo ilikuwaga hivyo.
Sinkala hebu nisahihishe kama nimekosea, then nitarudi tena kwa nyongeza zaidi.