Mkoa wa rukwa unahitaji mbadala wa mkuu wa mkoa aliyepo

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,428
2,232
Wadau nawasabahi, nilitarajia Mabadiliko ya Viongozi yaliyofanywa na Mh RAIS jana yangeuhusu na MKOA wa RUKWA. Mkoa huu kwa sasa ni kama HAUNA MKUU wa MKOA tofauti na alipokuwepo yule MAMA aliyehamishiwa MANYARA kwani harakati za yule Mama za kuhimiza Maendeleo na Kutatua KERO za Wananchi zilikuwa zinaonekana Tofauti na MKUU wa MKOA wa sasa.

Ushauri kwa Mh RAIS hebu waangalie na Wananchi wa MKOA wa RUKWA wanahitaji Mkuu wa Mkoa MTENDAJI.
 
Aaah huko ni mbali sana kutoka Kizimkazi mtajijua wenyewe kama mnasubiri kuhimizwa maendeleo na mkuu wa mkoa badala ya kufanya kazi myie wenyewe kuuendeleza mkoa.

Lakini nitawafikiria
 
Wadau nawasabahi.Nilitarajia Mabadiliko ya Viongozi yaliyofanywa na Mh RAIS jana yangeuhusu na MKOA wa RUKWA.
Mkoa huu kwa sasa ni kama HAUNA MKUU wa MKOA tofauti na alipokuwepo yule MAMA aliyehamishiwa MANYARA kwani harakati za yule Mama za kuhimiza Maendeleo na Kutatua KERO za Wananchi zilikuwa zinaonekana Tofauti na MKUU wa MKOA wa sasa.
Ushauri kwa Mh RAIS hebu waangalie na Wananchi wa MKOA wa RUKWA wanahitaji Mkuu wa Mkoa MTENDAJI.
Rukwa Mkiletewa mkuu wa mkoa mzuri mnamloga Kaeni na huyohuyo mnayeshindwa kumloga
 
Hili ulilolisema ni nani kakutuma kutoka huku Rukwa?
Ni lini na wapi mkuu wa mkoa analeta maendeleo.
Huyo mkuu wa mkoa aliyeondoka alileta maendeleo yapi mkoa wa Rukwa, yataje
 
Wadau nawasabahi.Nilitarajia Mabadiliko ya Viongozi yaliyofanywa na Mh RAIS jana yangeuhusu na MKOA wa RUKWA.
Mkoa huu kwa sasa ni kama HAUNA MKUU wa MKOA tofauti na alipokuwepo yule MAMA aliyehamishiwa MANYARA kwani harakati za yule Mama za kuhimiza Maendeleo na Kutatua KERO za Wananchi zilikuwa zinaonekana Tofauti na MKUU wa MKOA wa sasa.
Ushauri kwa Mh RAIS hebu waangalie na Wananchi wa MKOA wa RUKWA wanahitaji Mkuu wa Mkoa MTENDAJI.
Pia Mama Angalia Watu wanong"ang'ania MADARAKA,, kwenye Tasisi za Serikali,, Nenda TBS,, WMA,, Usiwarudishe wastaafu waende Huko Hawana maono Mazuri ya kuendeleza Tasisi,, wanakurudisha Nyuma.
 
Acha unafikia wako wewe.naona kila siku unaleta umbeya wako wa kumpiga vita mkuu wa mkoa kwa chuki zako binafsi.Kwani mkuu wa mkoa amakuzuia wewe kufanya kazi kujiletea maendeleo? Kwa hiyo ninyi wana Rukwa mnasubiri ajage mkuu wa mkoa majumbani mwenu kuwaambia Muende kazini? Acha malalamiko lalamiko ya kijinga na kitoto.fanya kazi mchawi mkubwa wewe.
Teuzi zimetoka vipi umepangiwa Wapi?
 
Ukatili wa kijinsia Makongoro alipokuwa Manyara.
Sasa,juzi,Queen anatangaza kwamba toka aushike ule mkoa,ukatili wa kijinsia ndio umeongezeka maradufu.
 
Huu mkoa ata aje nani bado wananchi wake wapooo nyumaa sana kwa kweli wenyej awataki kuchangamana na wagen
 
Wadau nawasabahi, nilitarajia Mabadiliko ya Viongozi yaliyofanywa na Mh RAIS jana yangeuhusu na MKOA wa RUKWA. Mkoa huu kwa sasa ni kama HAUNA MKUU wa MKOA tofauti na alipokuwepo yule MAMA aliyehamishiwa MANYARA kwani harakati za yule Mama za kuhimiza Maendeleo na Kutatua KERO za Wananchi zilikuwa zinaonekana Tofauti na MKUU wa MKOA wa sasa.

Ushauri kwa Mh RAIS hebu waangalie na Wananchi wa MKOA wa RUKWA wanahitaji Mkuu wa Mkoa MTENDAJI.
Walishaona huu Mkoa ndio wa kuwaleta wachovu.Bora Queen walau alikuwa anajitahidi ila wengine wote ni mizigo mizigo ikiongozwa na huyu comedian Nyerere jr.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom