Wanawake wa Mikoani..Tatizo nini?

Mkoani stars (jackline wolper na irene uwoya) vs Donta stars (wema sepetu na jokate)....mjini ni mjini labda na wa mjini wakienda mkoani wanaonekana hawajiamini kwani mtu kwao!

Wolper alikuja mjini anavaa vipedo vya draft draft...leo hii tukimkumbusha ugomvi.
 
mi ndo maana huwa nampenda Masanja akisema, oooh nimekulia osheni rodi, watu wanatoka Ubaruku wanakuja ku-run town vile vile.

Sioni shida ya kutoa shingo nje kuhakiki kama ramani ya unapoenda iko sawa hasa kama uko mgeni maeneo hayo. Sijapata Logic kwa kweli.
 
unazungushazungusha shingo na ushasau ulipofikia wapi,unapitilizwa kituo ndio unashituka "nilitaka nishukie mapipa sijui tumeshapita?" ...unachoshindwa kuomba wenyeji mapema wakuonyeshe kwenu ni nini..natumai umenipata sasa.
 
uko kwenye daladala umekaa siti moja na binti kutoka Sanya juu..mnatoka k/koo mmepanda gari za mwenge,mmefika sinza/mugabe binti wa sanya juu ananyoosha nyoosha kishingo chake,unaona kabisa anahisi kakaribia alipofikia ila kashasahau jina la kituo,ila kuuliza anakuonea aibu utamstukia wakuja..nawe ushamstukia jinsi anavyoangaika mpaka jasho linamtoka,tumeigusa kumekucha shingo inazidi kuangaika...anakutupiatupia kajicho kakuiba kama umemgundua,we kimya uko bize na ipad yako kama ujamstukia vile,jinsi ulivyo relax unazidi kumpa presha...

Kwa situation kama hii,mtu akikuomba umsaidie kumfahamisha kwamba kashafika remmy, atapungukiwa nini..

Eti unamaanisha ni kwa wale mabinti wa kutoka Sanya Juu? Canta, Mamndenyi na Lizzy hebu jibuni hizi tuhuma kwa niaba ya Watu wa Sanya Juu na Lawate...
 
uko kwenye daladala umekaa siti moja na binti kutoka Sanya juu..mnatoka k/koo mmepanda gari za mwenge,mmefika sinza/mugabe binti wa sanya juu ananyoosha nyoosha kishingo chake,unaona kabisa anahisi kakaribia alipofikia ila kashasahau jina la kituo,ila kuuliza anakuonea aibu utamstukia wakuja..nawe ushamstukia jinsi anavyoangaika mpaka jasho linamtoka,tumeigusa kumekucha shingo inazidi kuangaika...anakutupiatupia kajicho kakuiba kama umemgundua,we kimya uko bize na ipad yako kama ujamstukia vile,jinsi ulivyo relax unazidi kumpa presha...

Kwa situation kama hii,mtu akikuomba umsaidie kumfahamisha kwamba kashafika remmy, atapungukiwa nini..

hata binti wa kurasini akienda sinza anaweza kunyoisha shingo, na wa sinza akienda mbagala anaweza kunyoosha shingo ^^^^^^^hii maana yake si mwenyeji wa eneo hilo................ Haina maana kuwa wakuja

anyway huo ndo mtazamo wangu, acha waje wenyewe wajieleze
 
Mi sijakuelewa unaposema mjini! Mikoani ni wapi, na huo mji usiokua na hadhi ya kimkoa ni wapi ?
Ama unamaanisha kwa wanaotoka mikoani kwenda kwenye kulipopewa hadhi ya city ?
Hata hivyo city, haiwi city kama sehemu hiyo haijafikia hadhi ya mkoa!
Natatizika kiasi flani.
 
jamani si nimeishakuambia Mjini inaishia Mbezi..!!
Kwani we unatokea wapi judge?
 
na mimi wa kwenye jiwe hahaha

Aisee hebu na wewe jibu hizi Shutuma Bana, manake hata wa Kwenye Jiwe zinakuhusu. Wewe utakuwa mwakilishi wa wale wa Kibong'oto mpaka Mungushi..
 
hata binti wa kurasini akienda sinza anaweza kunyoisha shingo, na wa sinza akienda mbagala anaweza kunyoosha shingo ^^^^^^^hii maana yake si mwenyeji wa eneo hilo................ Haina maana kuwa wakuja

anyway huo ndo mtazamo wangu, acha waje wenyewe wajieleze

huo ulikuwa mfano mmojawapo,sio kigezo kikuu..

Nakupa mfano mwingine,sista duu katoka kyela...jamaa yake kamtoa out nae aijue daslam ya usiku inafafanaje...wanafika eneo la tukio...aamini macho yake anachokiona...watu wanang'aa hajawai ata kufikiria wana furaha hawana stress kwa mara ya kwanza anashuudia watu wanaoishi....anapanic anakuwa mnyonge kama kamwagiwa maji...anaanza kutia aibu kwa kushangaashangaa watu yani unakuta mtu unamshangaa msichana mwenzio...mara unakodolea CL mara umetolea macho neckless....hadi uliekuja nae anajistukia...
 
Back
Top Bottom