hawa ni waongeaji sana na huwa hawakubali kushindwa katika kubishana jambo fulani. pia ni wadadisi. sifa nyingine ni wakarim na wenye huruma kwa kila mtu. ukiwakorofisha imekula kwako
Niwajuavyo wangoni, sana sana wale waliofundwa ni waungwana na wana utu.Most of them are real wife material.....this is from my own personal experience.Hujawahi kuona heshima ya hawa "wanyemba" na wakunyumba na wala siyo hawa wa kizazi kipya cha mijini!!!
HAHAHAH , uchafu ni hurka ya mtu na wala c kabila, mie ni mngoni na mambo muhimu niliyofundishwa though nimezaliwa mjini na kukulia mjini ni kuwa mwanamke mkamilifu nikimaanisha mambo muhimu yote ambayo mwanamke anatakiwa kufanya yeye kama mwanamke.
Baba akitoka na mama anatoka, wanakutana kilabuni kila mtu ana mtu mwingine. Wakirudi haisumbui watoto wamekula nini wameoga au vipi; hao ni wa interior.
Wa mjini wanajitahidi kidogo ila la multiple lovers linabaki. Ninapenda ucheshi na ukarimu wao; ni watu muhimu kwenye shughuli (harusi, komunio na misiba) huchangamsha sana hasa mnapokuwa watani!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.