Hakuna mtu anayejadili ukabila wa mtu,hivi ni vitu vya kawaida kabisa kujadili maisha,tabia na mazingira ya jamii mnayoishi nayo.Mfano ukiwa China wananchi wa Shanghai ni tofauti kabisa na watu wa Beijing,Hongkong;etc na ukiwakuta hata vyakula wanavyopendela ni tofauti,hivyo tabia na kila kitu kiujumla ni tofauti kati yao, je kwanini isiwe na utofauti katika haya makabila 120? We are just curious to understand btn ourselves wala sio kwa nia mbay
Baba akitoka na mama anatoka, wanakutana kilabuni kila mtu ana mtu mwingine. Wakirudi haisumbui watoto wamekula nini wameoga au vipi; hao ni wa interior.
Wa mjini wanajitahidi kidogo ila la multiple lovers linabaki. Ninapenda ucheshi na ukarimu wao; ni watu muhimu kwenye shughuli (harusi, komunio na misiba) huchangamsha sana hasa mnapokuwa watani!
Simple mind discus people....great mind discuss idea.....
stupid mind coment shit.
ni wavivu kwenye 6/6 halafu wachafu
Nimecheka kweli nimekuja kureliase mtu wangu.anatabia izo hapo juu
-ukimuuzi hasamei kirahisi
-mbishi hakubali kushindwa wala kosa
-Muongeaji sana, mpaka unataka mziba mdomo
-Anajaribu kucontrol lakini kachemka.
-Kiburi na Jeuri
- Na yupo hapa mjini kasomea hapa mjini.
- mmh wangoni kazi kumbe.
Simple mind discus people....great mind discuss idea.....
Urself ur discussing people same as here. Dat mean u dont have only simple but empty mind. Unafanya nn huku? Kama sio umbea!!!? Gossip tu!