Wanawake wa kabila la Wasafwa

Abbasy

Senior Member
Nov 24, 2010
123
9
Naombeni msaada jamani kabila la wasafwa wenyeji wa mkoa wa Mbeya,wanawake wa kabila hilo wana sifa gani,ni muhimu kwangu naomba msaada wana JF.

Nawasilisha.
 
Unataka kutambikia juu ya miungu yao au?!, tafuta jukwaa husika kisha wahabarishe kuwa untaka kujua mambo gani- ya chumbani?, ya mahanjumati? Au elimu?!, utajibiwa.
 
Mimi namsaidia swala lake. Wanawake wa Kisafwa wana umbile la kike, wanamatiti wakitimiza miaka 18 huchumbiwa, huolewa na hupata mimba, huzaa na hunyonyesha. Yaani kama hawa hawa wengine unaowaona. Asante
 
Wapole, waoga, wenye upendo, wazuri, zamani ilizoeleka kuwa ni wachafu jambo ambalo sidhani kama ni kweli kweli.
 
Wapole, waoga, wenye upendo, wazuri, zamani ilizoeleka kuwa ni wachafu jambo ambalo sidhani kama ni kweli kweli.
Wana heshima sana, wanafanya kazi, na ni non-dependants on men, ni ma'beutiful sana pia
Yapo mapokeo mengi ya tabia za kila kabila nchini, ambapo binafsi nasema kuwa kwa miaka hii ya social migrations na inter-mingling huwezi kusema kwa uhakika juu ya tabia za kabila fulani...reference labda ifanywe kabla ya 1970!
 
pole ndg, wanawake wa kisafwa ni wachawi, wanaua wanaume, hawazai (wagumba), wachoyo, wazinzi, waongo, wavivu, wachafu, roho mbaya, wagomvi, matusi kwao ni salamu, wananuna, wanapenda hela kuliko mme na sifa zingine zoote mbaya unanazozijua wanazo! mkabila umeridhika eh?

... nyambafu!
 
wachapa kazi sana, hata akiwa na mtoto wa siku 7 anaenda shamba,
siyo wachoyo, na nyingi sifa kibao nitarudi kwako.
 
wachapa kazi sana, hata akiwa na mtoto wa siku 7 anaenda shamba,
siyo wachoyo, na nyingi sifa kibao nitarudi kwako.
NImesimuliwa kuwa kuna precedents nyingi tu ambapo wanawake wa kabila hili wamezalia shambani, kwa maana kuwa mama mjamzito anafanya kazi hadi siku ya kujifungua.
 
ye ni kweli ni wachapa kazi sana sana.... ila kama unataka chumbia usiwe na ukabila, utakuja kuwa disappointed
 
NImesimuliwa kuwa kuna precedents nyingi tu ambapo wanawake wa kabila hili wamezalia shambani, kwa maana kuwa mama mjamzito anafanya kazi hadi siku ya kujifungua.

Ni ukweli mkuu,
na akijifungua hajui kulala ndani,
kitovu cha mtoto kikipona tu yeye na mtoto wake mgongoni anakwenda mzigoni mkuu.
na hao watoto wanakuwa na afya nzuri sana mkuu.
 
pole ndg, wanawake wa kisafwa ni wachawi, wanaua wanaume, hawazai (wagumba), wachoyo, wazinzi, waongo, wavivu, wachafu, roho mbaya, wagomvi, matusi kwao ni salamu, wananuna, wanapenda hela kuliko mme na sifa zingine zoote mbaya unanazozijua wanazo! mkabila umeridhika eh?

... nyambafu!

hizo sifa zote ulizotaja ni sifa za mwanadamu.
Sioni cha kuita ukabila hapo, ni sawa kinachotakiwa kuangaliwa ni wasifu wa mtu binafsi lakini asili na tamaduni ni muhimu kuangalia hasa kama unayemlenga amekuzwa katika misingi ya kimila na kitamaduni, else mtashindwana tu.
Kuna makabila wanawezana wenyewe kwa wenyewe tu.
 
pole ndg, wanawake wa kisafwa ni wachawi, wanaua wanaume, hawazai (wagumba), wachoyo, wazinzi, waongo, wavivu, wachafu, roho mbaya, wagomvi, matusi kwao ni salamu, wananuna, wanapenda hela kuliko mme na sifa zingine zoote mbaya unanazozijua wanazo! mkabila umeridhika eh?

... nyambafu!
Kwani wee kabila gani ??
 
naombeni msaada jamani kabila la wasafwa wenyeji wa mkoa wa Mbeya,wanawake wa kabila hilo wana sifa gani,ni muhimu kwangu naomba msaada wana JF nawasilisha
Wanawake wakisafwa kwanza ni wachapa kazi, waoga,warembo, si wacha mungu sana,asilimia kubwa hutumia pombe za asiri hasa dadii, pia ni waaminifu sana na wengi wao huanzia mapenzi kwenye ndoa, shughuri yao kuu ni kilimo cha mahindi ,viazi mviringo na maharage.
 
Ni wachafu, tena wachoyo ila niwachapa Kazi sana..
Weee ombaomba ndo maana wawaona wachoyo. Bila Shaka mnyakyusa wewe

Back
Top Bottom