wanawake wa jf kuanzia leo msinijue

Asprin hao wote uliowataja, watakugeuka, mtu mwenyewe mchovu hivo, Haluuuuuu!
Subiri msuto wako siku zijazo, "You are next!"


Na wewe Erickb52, nishakuona na ushakunaku wako, ngoma si yako waipigia chapuo!
Hivi nikuulize Bwana wewe, ni nani aliyekupa Umanju?
Zinduna naomba kwa hisani yangu next awe Erickb52 amezidi sana kuparamia ya watu........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom