wanawake wa jf kuanzia leo msinijue

bora uwapige chini tu, wakikosa hela ya mafuta ya kujaza kwenye vivitz vyao akilindo zitawakaa sawa.....
 
Asprin hao wote uliowataja, watakugeuka, mtu mwenyewe mchovu hivo, Haluuuuuu!
Subiri msuto wako siku zijazo, "You are next!"


Maskini asprin,nakuonea huruma in advance,bora mie mahbuba wangu Z mwaka wa tisa huu kwenye ndoa nshamzoea.
 
Last edited by a moderator:
Huyu mzee anazeeka vibaya hapa mjini hapamfai tena mrudisheni kijijini apunguze mawazo ya magari aliyohonga ila hana ubavu wa kuhonga yeye mwenyewe anaishi kwa kudra za mwenyezi hiyo jeuri anapata wapi ya kusomesha concubine masters wakati wajukuu zake kila uchao wanarudishwa ada.mmh

Bishanga yupi unamwongelea?
 
Lol mwanaume unaongea vidole juujuu kama waimba taarabu kama kusutwa ulisutwa ngoja tuandae ngoma ya mkesha tukuimbie na kukuchezea ngoma zote upate akili. na vitu tunachukua taka usitake.
 
Dah ila umejikakamua kuwaachia vitz na viwanja nilidhani ungewapokonya lol
Umeuonyesha ubepari wa kihaya kwelikweli

Tatizo utakuta amewaachi hivyo vitu mabepari wenzake. Yaani unamwachie bibie, then bibie ananiachia mimi! Loh
 
Heheheheheeee angalia usije ukalia machozi ya damu maana huyo akikupa Vitz malipo yake ni noma na hana na wewe
Atakupangisha foleni hadi ushangae
Chezeya Bishanga weye

kumbe......kuanzia sasa Bishanga ukipita mtaani kwetu tutakuzomea.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom