wanawake wa jf kuanzia leo msinijue

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Mnajifahamu,wote ambao nimewasarandia,wote ambao nimewagonga,kuanzia leo siwajui msinijue.Tatizo lenu mkiniomba hela ya saluni nisiwape mnakimbilia kunisasambua jamvini,mnanchekesha.Narudia kusema mi na nyie basi,na hivyo vi vitz nilivyokununulieni chukua,na viwanja hata hati hizo chukueni,na zaabu nikiwaleteeni toka dubai chukueni,niliowaazima ipad zangu chukueni,niliokupeni ma samsung galaxy na mamiwani ya ray ban na police chukueni,na hiyo misaa ya cartier na gucci niliyokupeni chukua.Tatizo lenu wengi wenu mnasahau nilikokutoeni,kama wewe @Zinduna ulikuwa sakapoko,huna mbele wala nyuma,viatu nilikufundisha mie kuvaa,leo unanata, kwenda ulaya kwako sasa ni sawa na kwena magomeni ,nimekusomesha kuanzia fom one shaban robeti hadi nikakupeleka Uk masters digrii,kazi benki kuu nimekutafutia mie,apartment upanga nimekununulia mie,wadogo zako bishanga ndo nimewatoa,sasa juzi gari suzuki vitara kukwama gereji nakwambia subiri kidogo nitakwenda kulipa ndo una panic na kukimbilia jf? Loh huna hata uso wa haya binti Said wewe,sasa utajibeba nione utaishije mjini.
Nenda zangu Mynmar kuvuta kibinti cha ki Asia naambiwa wana adabu hawa na wanajua kutunza mme.
 
Teh teh teh! Mbona unatapatapa sana banana man! Kulikoni? Juzi kati si ulisema hugusi tena jamvi hili,kulikoni? Kweli nimeamini 'bishanga bila chit- chat hawezi kuishi'
 
Teh teh teh! Mbona unatapatapa sana banana man! Kulikoni? Juzi kati si ulisema hugusi tena jamvi hili,kulikoni? Kweli nimeamini 'bishanga bila chit- chat hawezi kuishi'

Nimeona nije niwapake cha mwisho kisha nitokomee zangu,hawabebeki hawa labda iwe mbeleko ya chuma.
 
Kaka pole sana. Ulivamia bahari pasi na kujihadhari, kuna papa na nyangumi. Ungemuagiza mzazi akupostie binti swaafi kutoka kanyigo, mpaka wamjanjarue umri umeshasogea.
 
Kaka pole sana. Ulivamia bahari pasi na kujihadhari, kuna papa na nyangumi. Ungemuagiza mzazi akupostie binti swaafi kutoka kanyigo, mpaka wamjanjarue umri umeshasogea.
Eti anadai haya majimama ndo kipenda roho....wanajua kutumia...akasahau hata KUSUTA wanajua...wacha wamuibukie na kiduku lol noma hadi akataka kuhama jukwaa
 
Ahahaaaaaa! le BISHANGA LE BASHAIJA FATAKI LA TANDALE Mbona unaleta mambo ya hausimami hausimiki hapa kalagabao umefulia wewe hautudai hatukudai kazi yako copy and paste nenda kaazime guta kwa ERICK52 ukambebe huyo m-asia wako

Nyie ndo nilikuwa nawasubiria ili mpambano ukamilike! LOL
 
Back
Top Bottom