kwani kuna mwanamme ambaye yuko radhi kuwa mme mwenza? mbona sasa tunatembea na wake za watu?
Ulishawahi kusikia mwanamke akamuowa mwanamme?
kwani kuna mwanamme ambaye yuko radhi kuwa mme mwenza? mbona sasa tunatembea na wake za watu?
Pengine hukumuelewa mtowa mada anauliza nini! Anachoshangaa ni kwanini wanawake wanakuwa wakali kuwekwa uke wenza wakati wengi wao wanajiweka uke wenza binafsi yao?