wanawake viumbe wa ajabu

Pengine hukumuelewa mtowa mada anauliza nini! Anachoshangaa ni kwanini wanawake wanakuwa wakali kuwekwa uke wenza wakati wengi wao wanajiweka uke wenza binafsi yao?


Inawezekana na wewe pia haujanielewa ni nini nilichokuwa najaribu kukizungumzia. Try to think beyond the box!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom