cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,797
una like zangu kama 50 hivi! wengine tunaendelea na teknolojia! lolest!Asante kwa kunipa nafasi ya kuuliza masuali
Suali langu la kwanza linaenda kwa mtoa maada:
Kama kuna ugomvi na mmesha achana (sio wanandoa)
we kinakuuma nini akienda "kuchapa" huko nje?
Suali la pili ni kwa baadhi ya wanaume walochangia:
Wewe unae enda kuchapa bila sababu yoyote unafaa?
Namalizia kwa mithali ya ma mabu zetu wenye busara:
Kunya anye kuku, akinya bata anaambiwa kahara.
PS: Kwenda huko nje sio revenge. hafanyi kwa kukuumiza
anafanya kwa ku-deal na frustration ulio sababisha wewe
na pia sio wanawake wote wanao deal na frustration hivi
Kila mwanamke ana namna yake. wengine tunakula ice cream