Wanawake tusaidieni kutupa majibu ya hili swala

Asante kwa kunipa nafasi ya kuuliza masuali
Suali langu la kwanza linaenda kwa mtoa maada:
Kama kuna ugomvi na mmesha achana (sio wanandoa)
we kinakuuma nini akienda "kuchapa" huko nje?

Suali la pili ni kwa baadhi ya wanaume walochangia:
Wewe unae enda kuchapa bila sababu yoyote unafaa?
Namalizia kwa mithali ya ma mabu zetu wenye busara:
Kunya anye kuku, akinya bata anaambiwa kahara.

PS: Kwenda huko nje sio revenge. hafanyi kwa kukuumiza
anafanya kwa ku-deal na frustration ulio sababisha wewe
na pia sio wanawake wote wanao deal na frustration hivi
Kila mwanamke ana namna yake. wengine tunakula ice cream
una like zangu kama 50 hivi! wengine tunaendelea na teknolojia! lolest!
 
Jinsi wanaume walivyokuja juu utadhani moto wa kifuu ilhali wao ndio wanawafungulia mlango wanawake wao kutafuta faraja nje!

Wanaume mnatakiwa muelewa hata sie wanawake tuna mioyo ya damu kama nyie na sio mioyo ya chuma kama mnavyofikiria, unakuta mtu anafanyiwa vituko mpaka basi tena wasivyokuwa na haya hawa spishi za kiume wanakuonyeshea wazi kabisaaaaaaaaaaaaa kwamba anatoka nje tena sio na mtu mmoja unakuta kawapanga foleni
kama nini, mana utakuta sms za mapenzi leo kutoka kwa farida ,kesho kwa mwajuma after kesho kwa ana ilmradi kero
tu.
Apart from that home anarudi late,kalewa na matusi na kejeli kibao,dharau ndio usiseme anakuona kama nyanya mbichi vile,na usiombe ukaomba game utasikia nimechoka anajitupa kitandani anakoroma kama mbuzi aliyepaliwa na gunzi la mahindi, wewe unaendelea kuhesabu misumari kwenye dari na nyege zako zimekujaa mpaka kwenye kucha!

Jamani wakina mama pigeni pamba za kufa mtu,pendezeni kwa kwenda mbele ,hizi presha za ajabu ajabu zisiwatese kabisaaaaaaaaaaa wewe tafuta mtu wako unakula naye raha kwa kwenda mbele ati, walahi hata akirudi asubuhi wala mshipa wa nani hii haushtuki.

Ila mashosti msipige kavukavu si mnajua tena Tanzania bila ukimwi inawezekana?
 
yaani ma dearest umenikoshajeee? leo lini tena kama ni mwenzangu tukutane dinner leo j5 pale peacock hotel.

skiliza nikwambie siyo kwamba wanawake hawapendi kutulia na siyo kwamba sisi tunafanya revenge la hasha hapa tunachofanya ni kuvumilia ama siyo? na sasa moja wapo ya siri ya kuvumilia ni hii hapa pata raha katikati ya matatizo yaani hii ni dawa kweli ya uvumilivu. miye ishu ya kufa kishujaa sinaga hata siku moja tulisha lia sana hadi mito ikalowana kwa machozi palipobakia ni pa timiza wajibu wako,pendeza sana, kisha jipe raha sana pesa yake akikupa pokea asipokupa usimwombe. Mbona utayafurahia haya maisha? yaani miye nawashauri wanawake wenzangu ule muda wa kulia kwa shida za ndani umeshapitwa na wakati huu sasa ni muda wa kujikomboa tunaweza ili kutetea ndoa zetu.
 
Mother f**** Thats the babilone idea hasa napoona mwanamke ndo anayetetea kupoteza hiki kizazi kwa kusuport umalaya!!!!
 
hiyo inaitwa LIWALO NA LIWE...usishangae ndo kizazi cha nyoka hichi Maandiko yanena
 
yaani ma dearest umenikoshajeee? leo lini tena kama ni mwenzangu tukutane dinner leo j5 pale peacock hotel.

skiliza nikwambie siyo kwamba wanawake hawapendi kutulia na siyo kwamba sisi tunafanya revenge la hasha hapa tunachofanya ni kuvumilia ama siyo? na sasa moja wapo ya siri ya kuvumilia ni hii hapa pata raha katikati ya matatizo yaani hii ni dawa kweli ya uvumilivu. miye ishu ya kufa kishujaa sinaga hata siku moja tulisha lia sana hadi mito ikalowana kwa machozi palipobakia ni pa timiza wajibu wako,pendeza sana, kisha jipe raha sana pesa yake akikupa pokea asipokupa usimwombe. Mbona utayafurahia haya maisha? yaani miye nawashauri wanawake wenzangu ule muda wa kulia kwa shida za ndani umeshapitwa na wakati huu sasa ni muda wa kujikomboa tunaweza ili kutetea ndoa zetu.

My dia hawa viumbe ukiwaendekeza unaweza ukafa cku si zako,Iliyobaki kwa sasa ni kufanya kazi kwa nguvu zote ili kuepuka utegemezi usiokuwa na kichwa wala miguu ,tunza sana na jali sana watoto wako pamoja na yeye,na hata akirudi baada ya cku tatu wala usimnunie mpokee vizuri tu na maji ya moto muandalie na pia uwe unamkumbusha tu sweetie huko unakoenda uwe unakumbuka hata kinga jamani!
 
yaani ma dearest umenikoshajeee? leo lini tena kama ni mwenzangu tukutane dinner leo j5 pale peacock hotel.

skiliza nikwambie siyo kwamba wanawake hawapendi kutulia na siyo kwamba sisi tunafanya revenge la hasha hapa tunachofanya ni kuvumilia ama siyo? na sasa moja wapo ya siri ya kuvumilia ni hii hapa pata raha katikati ya matatizo yaani hii ni dawa kweli ya uvumilivu. miye ishu ya kufa kishujaa sinaga hata siku moja tulisha lia sana hadi mito ikalowana kwa machozi palipobakia ni pa timiza wajibu wako,pendeza sana, kisha jipe raha sana pesa yake akikupa pokea asipokupa usimwombe. Mbona utayafurahia haya maisha? yaani miye nawashauri wanawake wenzangu ule muda wa kulia kwa shida za ndani umeshapitwa na wakati huu sasa ni muda wa kujikomboa tunaweza ili kutetea ndoa zetu.

Kwa hasira ya uchangiaji wako nahisi kama vile wewe ni kati ya wanawake waliotendwa
 
ha ha ha ha............, unamanisha wote wacheat?.... ndo mambo ya ile kauli ya PM.....LIWALO NA LIWE...
Zimwi umenielewa vizuri sana ndugu yangu, kwa maana nyingine tunasema ukimwaga mboga na mimi namwaga ugali ili wote tushinde njaa
 
hee si unachapwa kwa raha zake jamani...kama nyie mnavyochapa nje kwa raha zenu..au?

Mwanamke wa namna hiyo ni yule asiyejua tofauti ya mwili wake na shimo la choo. Yaani huona ni sawa tu kila mwenye haja na aje aimwage humo. Au kuna definition nyingine?
 
kazi mnayo...

mie kitumbua changu ni changu,nikiamua kumpa john,juma au rosa i dont understand why shud be your bussiness,
 
Back
Top Bottom