Wanawake naombeni mnipe elimu juu ya hili swala

Joyboy

JF-Expert Member
Sep 16, 2023
1,386
3,448
Habari 👋

Wakuu naombeni mchango wenu, ni swala linalohusu mahusiano.

Nipo katika mahusiano na mwanamke(22) ambaye juzi nimetoka kumtoa bikra.

Cha kushangaza ni kwamba maumivu kwake hayakati, hii ni mara ya nne sasa tunafanya mapenzi lakini bado anasikia maumivu, hii ni hali ya kawaida?? Mara ya kwanza na ya pili najua ni kawaida kusikia maumivu, sijajua kama ni kawaida kwa mara ya tatu na ya nne?? Isije akawa ana medical condition kama wale wanawake wanasikia maumivu wakifanya mapenzi??

Kitu chingine ni kwamba wakati tupo kweny tukio analalamika anabanwa na mkojo, mwanzoni nilikuwa nachukulia poa namwacha akakojoe, ila cha kushangaza tukiendelea tena dakika tano zijazo analalamika tena amebanwa na mkojo, namuacha tena aende akajisaidie, akirudi tukiendelea tena hali ni ileile, nilimuuliza vipi shida nn akasema hajui, nikamuuliza ukienda chooni mkojo unatoka akasema hapana ila tukifanya nasikia mkojo unataka kutoka, sasa hii ni kero, inakata mood sana.

Kwa jinsi nilivowaza, nafikiri inawezekana its just the urge for squirting(mwanamke kutokwa na majimaji wakati wa tendo) ila kwa sababu yeye ni mgeni wa haya mambo, maybe anashindwa kutofautisha kati ya squirting na mkojo wa kawaida.
Wakuu nipo sahihi au nimeenda chaka kabisa??
 
Back
Top Bottom