Wanawake punguzeni hii kitu mtatumika na kuachwa bila kuolewa

kila mwanamke anatamn sana kuolewa ni ukweli huu.... Sijawah ona mdada mtu mzima then hajaolewa akiwa na true happynes mfano ofisin kuna sister mmoja anapesa boss she is running 36 nw, hajaolewa ni kisirani hataree... Kanuna muda wote
ebana tupo ofisi moja nn?nasi tunaye mmoja kisirani hadi kwe mawazo yake
 
ila huyo namba 5 ndo mwanamke anayefaa kuolewa amini usiamini....!!!!!

Mkuu haijakukuta tu wa ivyo hafai. Imagine unatoka ofisini sa 10 mke wako yupo mlangoni anakusubr unakuta mnaendelea na kikao had sa 3 usiku ukitoka unamkuta . akutoe ofisini had nyumbani unashindwa kupata time ya kuongea na marafk wakupe dili na changamoto za maisha.
Mwanamke pia kuangalia sms kila unapoweka cm chini haipendez maofisini kuna marafk mmezoeana mnaitana dear, mchumba, wangu ( a.k.a my) kwa utani xo akikuta sms ya mfanyakaz mwenzio ni shida ugomvi kila cku.
Mtu kikufata ka BATA sio ishu swala ni kuaminiana. Na ukipata semina ya kikazi miez mitatu utaenda nae? Atajuaje kama una mtu?
 
Baa ndo kwenye kumbi za sherehe sasa tukavalishane wapi?

Hahaha...haya, mvalishane wakati hata wazazi wa pande mbili hawajuani..then usubiri ndoa..hiyo ndoa ikija natembea na boksa (chupi) posta mpya...teh!
 
Hahaha...haya, mvalishane wakati hata wazazi wa pande mbili hawajuani..then usubiri ndoa..hiyo ndoa ikija natembea na boksa (chupi) posta mpya...teh!

Mweh mweh Eli79 acha hizo....tena wewe maneno yako hebu futa kauli haraka
 
Last edited by a moderator:
The big problem of being a good boy is that bad boys always get girls. Ukiwa umetulia unapata wabawake hawaelewek unajarb kuwajal lakini wap. Apo chukua huduma usepe usije poteza vyote



Let her gooooooooooo!!
 
Mi naona hao uliowaandika wenye tabia hizo hawajakua bado... twiga stars flani. Mwanamke mzima from late 20s anaweza kuwa na mambo ya kitoto hivyo? Duh
 
te te te te te eeee...... mtoto wa kike anahitaji kupetiwa petiwa ukienda rafu utampoteza..... washanchosha fulu kuchezea tu, kama waona gere vaa :cool2:
 
Back
Top Bottom