Wanawake punguzeni hii kitu mtatumika na kuachwa bila kuolewa

sasa we ulitaka aombe kwa nani?? kama hivyo vitu una uwezo navyo kwanini usimpe??

Mbona jasho linakutoka inakuusu sana pole badilika. Unafikiri hata kama uwezo upo ndo kukupa tu kwa namna unayotaka. Utapewa,itatumika,utaachwa
 
Single ladies...Engaged ladies..na wale Engaged kwa miaka sita mbona mna kazi, hivi utavaaje engagement ring �� for six yrs na bado upo tu...sorry nimeenda nje ya mada..

Unakuwa huna akili
Ctaki izidi miezi 4
Navua pete unless kuwe na inevitable reasons
 
7. kingine mpo kwenye mapenzi mwanamke anataka umfanyie kila kitu mfano: umemtumia hela ya vocha na hiyo vocha hutapokea hata call yake zaidi kubip na tafadhari nipigie. Usipomkumbuka kumpigia simu na yeye anapiga kimya yaani yaweza pita hata siku 3 hajakutafuta...
ukimwuliza mbona kimya na vocha unayo. anasema hamna kitu tu.

Ukimpigia yaani wewe ndo utakuwa una ongea tu yeye ni kusikiliza tu mpaka useme unanisikia? aitikie ndiyo

mtu kama huyo akipigwa chini utakuwa umwonea???
 
Kila mwanamke anatamn sana kuolewa ni ukweli huu.... sijawah ona mdada mtu mzima then hajaolewa akiwa na true happynes mfano ofisin kuna sister mmoja anapesa boss she is running 36 nw, hajaolewa ni kisirani hataree... kanuna muda wote

Ni pm namba yake
 
wanawakeeee, watanzaniaaaa, wazuri sanaaaanaa, wanawake, watanzania wanawake watanzania, TATIZO mliwasifia sana
 
7. kingine mpo kwenye mapenzi mwanamke anataka umfanyie kila kitu mfano: umemtumia hela ya vocha na hiyo vocha hutapokea hata call yake zaidi kubip na tafadhari nipigie. Usipomkumbuka kumpigia simu na yeye anapiga kimya yaani yaweza pita hata siku 3 hajakutafuta...
ukimwuliza mbona kimya na vocha unayo. anasema hamna kitu tu.

Ukimpigia yaani wewe ndo utakuwa una ongea tu yeye ni kusikiliza tu mpaka useme unanisikia? aitikie ndiyo

mtu kama huyo akipigwa chini utakuwa umwonea???

We jamaa tumeendana matukio mi nilichofanya nilinunua kitu anachopenda nikamwambia aje geto kuchukua niliburuza iyo kitu then paka leo sipo nae. Mtaftie target upewe utam then tupa kule iyo kisirani
 
MAO ze don Hawa dada zetu hata uwapendeje hawaoni sijui wameumbwaje (baadhi yao lakini)
"Ni bora Mwanaume ambaye anatanguliza kuinvest Moyo Kwanza Kwa Mwanamke Kuliko yule atangulizaye Pesa"
Habu fikiria Unamdhamini kila kitu kila siku unampigia kumjulia hali..Sometimea unavunja maadili ya kazi sometimes saa nne unamtumia ka message kakuonyesha bado upo naye. Unatafuta hela umnunulie angalau kazawadi atasema tu ahsante ya kavukavu tena mbaya zaidi mi si mtu wa michepuko na sipendi kabisa na hii ni hurumana hofu ya kumtenda Mungu dhambi but ukirudi kwa mtu mwenyewe hachukulii serius although karibu kila kitu anakutegemea wewe.
.Halafu baadaye ukimwacha aje akuambie ohooo...nlikuwa namchezea jamani hivi kweli hii???
 
Last edited by a moderator:
Maisha ya sasa ni TUNACHEZEANA.....
Anayechezewa ni BIKRA tu ....ikishatolewa akija mpenzi mwingine ni mnachezeana...
Wanaume wa sasa ni waoga wa majukumu ! Salaleeee!!

unamchezea au mnachezeana?
 
Ehhh unampa zawadi halafu anakupa ahsante kavu kavu !! njoo kwangu mwaya..me ntakupa mbichi mbichi...

MAO ze don Hawa dada zetu hata uwapendeje hawaoni sijui wameumbwaje (baadhi yao lakini)
"Ni bora Mwanaume ambaye anatanguliza kuinvest Moyo Kwanza Kwa Mwanamke Kuliko yule atangulizaye Pesa"
Habu fikiria Unamdhamini kila kitu kila siku unampigia kumjulia hali..Sometimea unavunja maadili ya kazi sometimes saa nne unamtumia ka message kakuonyesha bado upo naye. Unatafuta hela umnunulie angalau kazawadi atasema tu ahsante ya kavukavu tena mbaya zaidi mi si mtu wa michepuko na sipendi kabisa na hii ni hurumana hofu ya kumtenda Mungu dhambi but ukirudi kwa mtu mwenyewe hachukulii serius although karibu kila kitu anakutegemea wewe.
.Halafu baadaye ukimwacha aje akuambie ohooo...nlikuwa namchezea jamani hivi kweli hii???
 
Kila mwanamke anatamn sana kuolewa ni ukweli huu.... sijawah ona mdada mtu mzima then hajaolewa akiwa na true happynes mfano ofisin kuna sister mmoja anapesa boss she is running 36 nw, hajaolewa ni kisirani hataree... kanuna muda wote

Huyo bosi mbona nae hajisomi kama kakosa wa kuoa si yeye aamue kutafuta wa kumuoa bana... Mario kibao mjini kakosa wa kujichagulia hata mmoja
 
Wanawake wengi kinachowafanya mlalamike wanaume hatuna mapenzi bali tuna wachezea ni maswali na vitabia vyenu visivyo na kichwa wala mguu.(baadhi ya wanawake).
1. Unakuta una demu wako mzuri tu na unataka kumuoa lakini haipiti wiki ujaombwa ela ya saluni acha vocha za kila siku na outing za kila weekend hivi unafikiri mwanaume mwenye akili atakuoa akupeleke wapi? Yeye hata enjoy na wewe kwa muda anakutumia then anatupa kule.

2. Eti mwanamke anakuuliza ivi unataka kunioa kweli au utanichezea tu? Ivi unategemea nikwambie ntakuchezea ili uninyime utamu. Lazima nikwambie tutafunga ndoa baby usijali. Ili swali usimuulize mwanaume coz mwanaume mwenye malengo na wewe ataianzisha iyo mada mwenyewe bila kuulizwa na hana maneno mengi. Na ukiona hajawahi kugusia anza kupotea coz haolewi mtu apo.

3. Eti mtu upo nae maali mmetulia anakuuliza "baby do you love me?" Unategemea nijibu no? Subiri uambiwe "i love you" ukiona unaanza kuiulizia mwenyewe apo kuwa makini hupendwi inapendwa iyo kitu.

4. Unakuta ukimwambia girlfriend yako please tukutane bac weekend hii japo tu spend wote utaskia oooh nasafir kidogo, nina kazi nyingi, nitaenda saloon n.k kila wiki hukosi sababu ila nikikwambia " jamani babby kuna trouser na blauz nimeipenda nimekuchukulia" utaskia " waaaao! Tukutane lini nivione jamani ntakuja bac badae" apo ukija natumia iyo kitu effectively then nakuacha. Inamaana unataka kukutana na mimi pale napokua na kitu tu?

5.Mwanamke umetongoza juzi tu anaanza kukubana ukitoka kazini tu yupo reception, akikupigia simu kila wakati utaskia upo na nani? Inafanya nini? Ukiwa nae ataanza kuangalia meseji zote whatsapp na za kawaida. Hamna mwanaume anayetaka mwanamke anae mfuatilia kitoto ivyo apo utatumika then uachwe. Badilika mwenye tabia iyo.

6. Unakuta una marafiki zako wenye tabia tofauti tofauti ila mnasaidiana kwenye mambo meng anaanza kukuchagulia marafiki ambao mmefahamiana toka zamani. Ooh usitembee na flan ni mlevi sana, ni malaya, n.k tambua ao wote ndo walifanikisha mpenz wako akapata kaz na wananisaidia kiuchumi nikiwa na tatizo lolote. Ijue tabia ya mpenz wako sio kumlinganisha na marafiki. Xo nisiwe na marafiki walevi coz mi sinywi.

Mengine mtaongezea wadau. Ila baadhi ya wanawake ivi vitabia muache lasi ivyo mtabaki kusema wanaume hawapendi wanakuchzea tu . kwa tabia izo nikioa si shida

Mkuu umegusa kule kule aiseeh
 
MAO ze don Hawa dada zetu hata uwapendeje hawaoni sijui wameumbwaje (baadhi yao lakini)
"Ni bora Mwanaume ambaye anatanguliza kuinvest Moyo Kwanza Kwa Mwanamke Kuliko yule atangulizaye Pesa"
Habu fikiria Unamdhamini kila kitu kila siku unampigia kumjulia hali..Sometimea unavunja maadili ya kazi sometimes saa nne unamtumia ka message kakuonyesha bado upo naye. Unatafuta hela umnunulie angalau kazawadi atasema tu ahsante ya kavukavu tena mbaya zaidi mi si mtu wa michepuko na sipendi kabisa na hii ni hurumana hofu ya kumtenda Mungu dhambi but ukirudi kwa mtu mwenyewe hachukulii serius although karibu kila kitu anakutegemea wewe.
.Halafu baadaye ukimwacha aje akuambie ohooo...nlikuwa namchezea jamani hivi kweli hii???

The big problem of being a good boy is that bad boys always get girls. Ukiwa umetulia unapata wabawake hawaelewek unajarb kuwajal lakini wap. Apo chukua huduma usepe usije poteza vyote
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom