Wanawake ni watu Special sana ila basi tu

Sahihi! kabisa! na ndo mlivyooo!! ni lazima useme makasiriko kwa sababu nimekusahihisha imani yako potofu ya kumdhalilisha mwanamke! narudia tena ''uachane nayo mara moja''!! sikuchekei wala kukubembeleza!

Madharau, madharua ya jamii yenu hiyo ya kumtunza mtu mzima km kifaa chako cha kutumia unavo taka!...hili povu hulioni?? ila umeona lile lililo kataaa, udhalilishaji wa mwanamke?

ndivo mlivyo kwa hulka!! hatutaki bana, mbona hamuelewi???? au mpaka tuwapigie ngoma?? na tukijua unafanya hivo, UWT team! tunakuja hapo kwako kumchukua huyo M-mama kwa lazima na kesi juu!

tutaomba JF itusaidie kuku-trace! utamlipia huyo ke kila kitu mpaka afike anapotaka yeye! au kifungo, au vyote viwili! na hii mnawafanyia sana wana vijiji! born town hawezi kubali ujinga km huuu!

sikia haka kawimbo ''wanawake na Maendeleo tufanye kazi tusonge mbele!! ee!'' vicky Kamata kaimba weeee!! mdada wa watu! mpaka amechakaa! hiyo jamii yenu haijaelewa tu mpaka leo???

Ke tuna wahitaji kujenga Taifa siyo kuzlishwa na kulishwa na kuletewa km wao ni Mahiti!! sometimes huyo unae mletea ana akili kubwa kuliko weye!!..tunamuhitaji hapa! .....unajifanya kamungu mtu??

Mungu na ubabe wake wote! alifanya kazi,... ke ni nani asifanye kazi inayoendana na kipaji chake??...nyie ndo mnaua vipaji nyie! muone kwanza!! Lady JD, Madona, Ellen G white, Mama Samia, J. Sharif nk,

wangekuwa na mawazo mfu km yako ungepata wapi Maongozi yaliyo tukuka?? na muziki wa sauti mwororo??! wewe km wewe nasema hivi ni '' Among de Serious of unique Talents Assassinators''

Halafu bila aibu unasema, Binafsi nina makasiriko! asa nimchekee Muuaji wa vipaji??......Unaua km Idd Amini halafu eti tuchekee tu! dat's Primitive uselessness nonsense!!!...Omba msamaha!!

jua tu! unabahati uko mbali! yaani weye ulifaa ni kipigo cha Mwiko! tena ule wa moto wa ugali, mateke, manguni, menooo! tupa kuleee! na msuli wako huo, na kapu lako la nyanya chungu!

ukalilie Msikitini/Kanisani/Polisi vizuri!......na ukinigusa tu, Segerea hiyoooo!.... unastahili kwenda huko! ili ukajifunze! najua polisi huendi!

sababau km ukienda kule polisi na msuli wako wenye alama ya ugali na masizi ya chungu piga picha kwanza. Manjagu .... watachekaaaaaaaaaaaaaaaaa!! mpaka wazimieeeeee.....

Unahitaji mwanasaikolojia mkuu

Pole Sana Kwa changamoto
 
Unahitaji mwanasaikolojia mkuu

Pole Sana Kwa changamoto
Aksante nimesha poa!.....kunipatia mwanasaikolojia kwa jambo km hili! ni matumizi mabaya ya wataalamu!! ila nachokufundisha uache tabia ya kufuga wake kwa kisingizio cha Mapenzi!..hawapendi!

Mkuu fikiria ni nani anahitaji mwanasakolojia hapo! au hujui Psychologists ni nini?? km kawaida yako umekusudia kuropoka tena??!
 
Mwanamke hajakatazwa asijishughulishe

Anaweza kujishughulisha na itakapotokea dharula kama iliyokupata wewe bilashaka ataisaidia familia yake unless awe na roho mbaya Sana

Lakini sio wewe uko fiti halafu ukampangia majukumu au ukalazimisha afanye majukumu Fulani ya kifamilia utakuwa unakosea,ni Bora mkaongea kama wanandoa na kushauriana namna ya kukupa backup kwakuwa huyo ni mkeo.

Always timiza wajibu wako kama kiongozi wa familia.

Na hatusemi wanawake wasisaidie wenzi wao laa!
Sasa mheshimiwa atakusaidiaje majukumu wakati ukiwa mgonjwa au umefukuzwa kazi maana ulimzoesha kukaa tu ndani kamamdoli akiamgalia michezo ya sinema zetu napengine umemuwekea na wadada wakazi???!!!

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Sasa mheshimiwa atakusaidiaje majukumu wakati ukiwa mgonjwa au umefukuzwa kazi maana ulimzoesha kukaa tu ndani kamamdoli akiamgalia michezo ya sinema zetu napengine umemuwekea na wadada wakazi???!!!

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Mkuu ebu tujiulize Kwanza huko zamani wazazi wetu waliishi vipi? Je hawakuyaona haya?

Hapo ni Sawa Sawa na kujiuliza je mathalani ungekuwa unaishi mwenyewe na ukafukuzwa kazi ghafla je ungeishije?

Kizazi hiki uoga umetuzidi sana
 
Wanawake ni viumbe ambao wameumbwa kuhudumiwa na kuangaliwa na kupewa hadhi kubwa Sana katika jamii Ila basi wanaume ndio hatujielewi.

Mwanamke hakuumbwa kuja kupata shuruba hapa duniani Ila Maisha Tu ndo yamewafanya waingie katika mazingira hayo.

Kwanza tunaambiwa mwanamke ametokana au ameumbwa kutoka katika ubavu WA Adamu, tena ubavu ulio pinda inamaana ukizidi kuupinda utakatika na na ukiunyosha pia utakatika,huyo ndo mwanamke bwana.

Kwa kujua hilo ndio maana Dini ya Uislamu imewapa umuhimu mkubwa Sana wanawake katika ustawi wao katika jamii ingawa jamii ya kimagharibi inaona mwanamke amenyimwa Uhuru Sana Kwa kile Tu cha kuona Uislamu umewahimiza wanawake Wajistiri na wasikae uchi kama wanawake wapuuzi WA kimagharibi, kwao wao Uhuru na hadhi ya mwanamke ni kutembea uchi na kujianika maungo yake hadharini na kuwafanya chombo cha starehe.

Mwanamke anastahili kuheshimiwa na kupendwa na kutunzwa vizuri, Kwa mujibu wa mafundisho ya kiislamu,mwanaume anamuoa mwanamke na kupewa kama dhamana na Mwenyezi Mungu,amuangalie na aishi nae Kwa mapenzi na huruma pia na ajue IPO siku ataulizwa ni vipi aliitunza Amana aliyopewa.

Ndio maana mwanamke WA kiislamu hata akinyonyesha mtoto anatakiwa alipwe na mume wake,naam ndio hivyo.

Mwanamke anatakiwa atafutiwe mfanyakazi WA kumsaidia kazi za pale nyumbani,sio jukumu lake kukufulia na kufanya usafi,wanacho fanya ni huruma Yao na mapenzi Yao Tu Kwa mume,kazi yake ni kujipamba na kukuhudumia wewe mume wake kipenzi.

Hata kama mwanamke anabiashara au anafanya kazi hawajibiki kumhudumia familia pale nyumbani,hiyo ni hela yake yeye,wewe kama mume ndio Una majukumu ya kuhakikisha mipango ya pale nyumbani unaenda Sawa,Ila mwanamke mwenyewe akiamua kukusaidia hapana ubaya hata kidogo,Ila kama mume usitolee macho kipato cha mkeo na kutaka ashiriki katika majukumu yako laa! Si kazi yake hata kidogo.

Leo masikini ya Mungu wanawake wanapata shida kwakuwa wanaume hatufanyi majukumu yetu kama wanaume,matokeo yake unakuta dada zetu na mabeseni mabarabarani wanahangaika na Jua Kali kukujitafutia ridhiki. Mwanamke hakuumbwa hivyo hata kidogo,matokeo yake Leo hii nyumba hazina mahaba kabisa,mwanamke ametoka kutafuta amechoka na mwanaume vile vile.

Lakini kama mwanamke angekuwa anaangalia nyumba yake haendi huko juani kupambana Bila Shaka angekuwa nyumbani kumhudumia mumewe na kumpa faraja ya kutosha kabisa.

Mwanamke hafai hata kwenda sokoni,anatakiwa aletewe mazagazaga yote pale home na mumewe,ndio maana kuna wanaume ambao wanajitambua hufanya hivyo,ingawa wasiojua wanawasema vibaya kuwa Wana wivu Sana,laa hawana wivu wanajua majukumu Yao vizuri Sana.

Kwa kumalizia ingawa mambo ni mengi na Mda ni mchache,wanaume tuwaheshimu wanawake na tuwatunze vile Inavyotakiwa,hawakuumbwa kupata shida hawa viumbe Ila Sisi ndio tumeamua kuwapa shida, tunaweza badilisha Hilo.

Mkuu makaveli10 mshenga wangu Kwa To yeye hope utaanza kumlipa your baby mama hela za kunyonyesha very soon.

Ni hayo Tu!
Hata hao wanawake wenyew kwasasa hawatak kukaa ndani kusubiri aletewe kila kitu,
Wanataka kujishughulisha waingize kipato kusaidia maendeleo ya familia zao.
Ikitokea mume ametangulia mbele za haki huyo mwanamke aliekaa tu ndani na watoto akisubiri kuletewa kila ktu ataishije??
 
Hata hao wanawake wenyew kwasasa hawatak kukaa ndani kusubiri aletewe kila kitu,
Wanataka kujishughulisha waingize kipato kusaidia maendeleo ya familia zao.
Ikitokea mume ametangulia mbele za haki huyo mwanamke aliekaa tu ndani na watoto akisubiri kuletewa kila ktu ataishije??
Mkuu Kwanza naomba nieleweke kwamba,haijasemwa wanawake wasijishughulishe au wasishiriki katika shughuli za kiuchumi.

Kama watashiriki basi wasichukue majukumu moja Kwa moja kama mume,Bali akusaidie Kwa mapenzi yake Tu,sasa linapokuja swala la wewe kupata matatizo basi inaeleweka ata take care mambo hapo nyumbani.

Haya mambo ya kumtafuta mke ambaye ana uchumi wake na kumuoa Kwa kutarajia ashiriki katika majukumu kama mume sio sahihi kabisa.
 
Maneno mazuri ila utekelezaji ndio mzito ika hawa viumbe awatabiliki ata uwape na uwafanyie nini Maana ata huyo Adam yalimkuta ya kumkuta adi akawa mpweke
 
Ckuiz wanawake wamekuwa watafutaji kuliko hata wanaume Wenyewe, na ndio idadi ya wanaume halisi inaendelea kupungua kwa Kasi Sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom