Wanawake ni watu Special sana ila basi tu

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
3,520
6,503
Wanawake ni viumbe ambao wameumbwa kuhudumiwa na kuangaliwa na kupewa hadhi kubwa Sana katika jamii Ila basi wanaume ndio hatujielewi.

Mwanamke hakuumbwa kuja kupata shuruba hapa duniani Ila Maisha Tu ndo yamewafanya waingie katika mazingira hayo.

Kwanza tunaambiwa mwanamke ametokana au ameumbwa kutoka katika ubavu WA Adamu, tena ubavu ulio pinda inamaana ukizidi kuupinda utakatika na na ukiunyosha pia utakatika,huyo ndo mwanamke bwana.

Kwa kujua hilo ndio maana Dini ya Uislamu imewapa umuhimu mkubwa Sana wanawake katika ustawi wao katika jamii ingawa jamii ya kimagharibi inaona mwanamke amenyimwa Uhuru Sana Kwa kile Tu cha kuona Uislamu umewahimiza wanawake Wajistiri na wasikae uchi kama wanawake wapuuzi WA kimagharibi, kwao wao Uhuru na hadhi ya mwanamke ni kutembea uchi na kujianika maungo yake hadharini na kuwafanya chombo cha starehe.

Mwanamke anastahili kuheshimiwa na kupendwa na kutunzwa vizuri, Kwa mujibu wa mafundisho ya kiislamu,mwanaume anamuoa mwanamke na kupewa kama dhamana na Mwenyezi Mungu,amuangalie na aishi nae Kwa mapenzi na huruma pia na ajue IPO siku ataulizwa ni vipi aliitunza Amana aliyopewa.

Ndio maana mwanamke WA kiislamu hata akinyonyesha mtoto anatakiwa alipwe na mume wake,naam ndio hivyo.

Mwanamke anatakiwa atafutiwe mfanyakazi WA kumsaidia kazi za pale nyumbani,sio jukumu lake kukufulia na kufanya usafi,wanacho fanya ni huruma Yao na mapenzi Yao Tu Kwa mume,kazi yake ni kujipamba na kukuhudumia wewe mume wake kipenzi.

Hata kama mwanamke anabiashara au anafanya kazi hawajibiki kumhudumia familia pale nyumbani,hiyo ni hela yake yeye,wewe kama mume ndio Una majukumu ya kuhakikisha mipango ya pale nyumbani unaenda Sawa,Ila mwanamke mwenyewe akiamua kukusaidia hapana ubaya hata kidogo,Ila kama mume usitolee macho kipato cha mkeo na kutaka ashiriki katika majukumu yako laa! Si kazi yake hata kidogo.

Leo masikini ya Mungu wanawake wanapata shida kwakuwa wanaume hatufanyi majukumu yetu kama wanaume,matokeo yake unakuta dada zetu na mabeseni mabarabarani wanahangaika na Jua Kali kukujitafutia ridhiki. Mwanamke hakuumbwa hivyo hata kidogo,matokeo yake Leo hii nyumba hazina mahaba kabisa,mwanamke ametoka kutafuta amechoka na mwanaume vile vile.

Lakini kama mwanamke angekuwa anaangalia nyumba yake haendi huko juani kupambana Bila Shaka angekuwa nyumbani kumhudumia mumewe na kumpa faraja ya kutosha kabisa.

Mwanamke hafai hata kwenda sokoni,anatakiwa aletewe mazagazaga yote pale home na mumewe,ndio maana kuna wanaume ambao wanajitambua hufanya hivyo,ingawa wasiojua wanawasema vibaya kuwa Wana wivu Sana,laa hawana wivu wanajua majukumu Yao vizuri Sana.

Kwa kumalizia ingawa mambo ni mengi na Mda ni mchache,wanaume tuwaheshimu wanawake na tuwatunze vile Inavyotakiwa,hawakuumbwa kupata shida hawa viumbe Ila Sisi ndio tumeamua kuwapa shida, tunaweza badilisha Hilo.

Mkuu makaveli10 mshenga wangu Kwa To yeye hope utaanza kumlipa your baby mama hela za kunyonyesha very soon.

Ni hayo Tu!
 
Wanawake ni viumbe ambao wameumbwa kuhudumiwa na kuangaliwa na kupewa hadhi kubwa Sana katika jamii Ila basi wanaume ndio hatujielewi.

Mwanamke hakuumbwa kuja kupata shuruba hapa duniani Ila Maisha Tu ndo yamewafanya waingie katika mazingira hayo.

Kwanza tunaambiwa mwanamke ametokana au ameumbwa kutoka katika ubavu WA Adamu, tena ubavu ulio pinda inamaana ukizidi kuupinda utakatika na na ukiunyosha pia utakatika,huyo ndo mwanamke bwana.

Kwa kujua hilo ndio maana Dini ya Uislamu imewapa umuhimu mkubwa Sana wanawake katika ustawi wao katika jamii ingawa jamii ya kimagharibi inaona mwanamke amenyimwa Uhuru Sana Kwa kile Tu cha kuona Uislamu umewahimiza wanawake Wajistiri na wasikae uchi kama wanawake wapuuzi WA kimagharibi,kwao wao Uhuru na hadhi ya mwanamke ni kutembea uchi na kujianika maungo yake hadharini na kuwafanya chombo cha starehe.

Mwanamke anastahili kuheshimiwa na kupendwa na kutunzwa vizuri, Kwa mujibu wa mafundisho ya kiislamu,mwanaume anamuoa mwanamke na kupewa kama dhamana na Mwenyezi Mungu,amuangalie na aishi nae Kwa mapenzi na huruma pia na ajue IPO siku ataulizwa ni vipi aliitunza Amana aliyopewa.

Ndio maana mwanamke WA kiislamu hata akinyonyesha mtoto anatakiwa alipwe na mume wake,naam ndio hivyo.

Mwanamke anatakiwa atafutiwe mfanyakazi WA kumsaidia kazi za pale nyumbani,sio jukumu lake kukufulia na kufanya usafi,wanacho fanya ni huruma Yao na mapenzi Yao Tu Kwa mume,kazi yake ni kujipamba na kukuhudumia wewe mume wake kipenzi.

Hata kama mwanamke anabiashara au anafanya kazi hawajibiki kumhudumia familia pale nyumbani,hiyo ni hela yake yeye,wewe kama mume ndio Una majukumu ya kuhakikisha mipango ya pale nyumbani unaenda Sawa,Ila mwanamke mwenyewe akiamua kukusaidia hapana ubaya hata kidogo,Ila kama mume usitolee macho kipato cha mkeo na kutaka ashiriki katika majukumu yako laa! Si kazi yake hata kidogo.

Leo masikini ya Mungu wanawake wanapata shida kwakuwa wanaume hatufanyi majukumu yetu kama wanaume,matokeo yake unakuta dada zetu na mabeseni mabarabarani wanahangaika na Jua Kali kukujitafutia ridhiki. Mwanamke hakuumbwa hivyo hata kidogo,matokeo yake Leo hii nyumba hazina mahaba kabisa,mwanamke ametoka kutafuta amechoka na mwanaume vile vile.

Lakini kama mwanamke angekuwa anaangalia nyumba yake haendi huko juani kupambana Bila Shaka angekuwa nyumbani kumhudumia mumewe na kumpa faraja ya kutosha kabisa.

Mwanamke hafai hata kwenda sokoni,anatakiwa aletewe mazagazaga yote pale home na mumewe,ndio maana kuna wanaume ambao wanajitambua hufanya hivyo,ingawa wasiojua wanawasema vibaya kuwa Wana wivu Sana,laa hawana wivu wanajua majukumu Yao vizuri Sana.

Kwa kumalizia ingawa mambo ni mengi na Mda ni mchache,wanaume tuwaheshimu wanawake na tuwatunze vile Inavyotakiwa,hawakuumbwa kupata shida hawa viumbe Ila Sisi ndio tumeamua kuwapa shida, tunaweza badilisha Hilo.

Mkuu makaveli10 mshenga wangu Kwa To yeye hope utaanza kumlipa your baby mama hela za kunyonyesha very soon.

Ni hayo Tu!u
Umesema yote kaka, Allah amuhifadhi mume wangu kwa kweli maana anajitahidi kuyafanya hayo uliyoyaandika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom