Wanawake na Wivu - Rayal wedding

Utafiti hasa ulifanywa kwa wale walioolewa na vibabu vya kizungu.

Afu lazma muelewe aina za utafiti na jinsi zinavyofanyika.
 
Jamani kwani tumekatazwa kudream big things, huwezi jua ya Mungu mengi. Prince mwenyewe hata hakuvaa pete nahisi kalazimishwa kama baba yake
 
Inaonekana roho zinawauma sana kaka zetu tukiolewa na wazungu. Hata vibabu si mapenzi jamaniii hehe maana kila ktu wazungu, na wewe huu utafiti umefanyia wapi. nahisi mkeo ndio alikwambia eheh hahahhahahah
 
Asilimia zaidi ya 93 ya wanawake Tanzania walimwonea wivu Kate kwa kuolewa na Williams.

Hali ilikua mbaya zaidi hasa kwa wale waliolewa na wanzungu,,na wengine walitamani hata waachike na hao wazungu wao, ilmradi tu waolewe na William.

Wengi wao walikua wakifunga ndoa na william ndotoni , huku wakiwa na wa ubavu wao pembeni.

Kifupi wlitamani wangekua wao.

Swali la kujiuliza,huu wivu unatokana na nini ilhali wakijua kwamba wasingeweza kwa namna yeyote ile kukutana na na huyo mjukuu wa malkia?



KJ umetuonea wewe....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom