Wanawake na wanaume wa Kinyamwezi

LUCHELELE

Member
Jul 12, 2011
27
4
za leo wanajf. mi napenda kujua kidogo kuhusiana na social life ya wanawake na wanaume wa kisukuma na wanyamwezi.kwa yeyote mwenye details karibu kuchangia.
 
Wanaume wanapenda sana hawana mchezo kwenye hiyo anga,wanawake wakarimu na heshima ni jadi bila kusahau wana mashepu ya kukata na shoka
 
Just a research au unataka ufanye nini ukishajua details zao[/QUOTE

LENGO LANGU NI KUFAHAMU TU KWANI NINAAMINI HATA WEWE UNGEPENDA KUFAHAMU KUHUSIANA NA MAKABILA FULANI HAPA TANZANIA.LENGO NI KUJUA TU WENZETU WANAISHIJE KAMA UJUAVYO TENA MILA NA DESTURI ZETU WANTANZANIA ZINAFANANA ALMOST MAKABILA YOTE.TOFAUTI NI NDOGO SANA.
 
Mimi nadhani ulihitaji kuwa na 'genuine reason' kwa nini unahitaji kujua hilo na 'specific perspective' ...ndio hata uchangiaji ungenoga...sasa mkuu Luchelele unaposema... kufahamu tu...inakuwa kama ya mzahamzaha hivi..na kama hivyo ndivyo tegemea kupata majibu ya mzahamzaha...
 
Mkuu kuwa wazi kama umempata mwanamke wa huko unataka ufunge nae ndoa useme wazi tuu watu wakupe taarifa zao. Na kama ni hilo mpende the way alivyo wala usianze kuuliza tabia au sijui wana nini maana utakaloambiwa hapa halitasaidia sana katika kubadilisha kile ambacho unacho
 
Ndo maana mkuu nimemwambia awe wazi je anaulizia kwa kuwa anafanya research ya makabila hayo au ana mke anatarajia kuoa huko ili kujua wakoje na ajue na mashemeji zake wana tabia gani au ana nini
 
Mkuu kuwa wazi kama umempata mwanamke wa huko unataka ufunge nae ndoa useme wazi tuu watu wakupe taarifa zao. Na kama ni hilo mpende the way alivyo wala usianze kuuliza tabia au sijui wana nini maana utakaloambiwa hapa halitasaidia sana katika kubadilisha kile ambacho unacho

Na kama ni hivi, basi ukioa/kuolewa kwa kuangalia kabila utaumia.. kwa sasa hii habari ya makabila imekuwa haina maana, kuna mwingiliano mkubwa na malezi yamekuwa tofauti sana. utakutana nao wako Mtwara, hawajawahi hata kwenda huko Tabora/Shinyanga/Mwanza na hawajui hata lugha ya asili. Sasa wewe jichanganye uoe/uolewe kwa kuangalia eti kabila fulani utaumia.. angalia mtu mwenyewe!!
 
Wanaume wanapenda sana hawana mchezo kwenye hiyo anga,wanawake wakarimu na heshima ni jadi bila kusahau wana mashepu ya kukata na shoka

Gaga
Naona kweli unawamwagia sifa.... wa huko nini!! :)
 
Na kama ni hivi, basi ukioa/kuolewa kwa kuangalia kabila utaumia.. kwa sasa hii habari ya makabila imekuwa haina maana, kuna mwingiliano mkubwa na malezi yamekuwa tofauti sana. utakutana nao wako Mtwara, hawajawahi hata kwenda huko Tabora/Shinyanga/Mwanza na hawajui hata lugha ya asili. Sasa wewe jichanganye uoe/uolewe kwa kuangalia eti kabila fulani utaumia.. angalia mtu mwenyewe!!

Mkuu nakubaliana na wewe.
Kwa hapa sidhani kwa sasa kama watu wanaangalia kabila tena. Muingiliano ni mkubwa sana na watu wameoana kutokana na walikojkutana na ukiwauliza habari za kwao hata hawajui kabisa
 
Gaga
Naona kweli unawamwagia sifa.... wa huko nini!! :)[/QUOT

mtu kutaka kujua kuhusiana na kabila fulani si kwamba anataka kuoa au kuolewa.ndo mana hata huko mashuleni tunajifunza historia mbalimbali za nchi yetu na za ugaibuni.lengo si kutafuta mke au mume bali ni kupanua uelewa wa mambo mbalimbali tu wakuu.hebu tuache kuwa na mawazo mgondo.na kwa wale wenye lengo lakuoa au kuolewa kwa kupitia makabila pia mtakua mmewasaidia sana kupitia mchango wenu.hivo naomba mchangie kwa kumaanisha na si mzahamzaha kama mmoja wetu alivosema.
 
Mkuu naona hujatuelewa. Kujua historia sil lazima usikie kutoka kweney mchango wa watu. Unaweza kugoogle wanyamwezi na ukapata mambo mengi tuu. Humu utakachokipata ni just imagination z awatu wala hao wanyamwezi au wasukuma hawawezi kukupa full data za wao au makabila yao yakoje. Tunachopigana hapa ni kutaka kujua lengo plako haswa ni nini mkuu kutaka kujua makabila haya yakoje
 
za leo wanajf. mi napenda kujua kidogo kuhusiana na social life ya wanawake na wanaume wa kisukuma na wanyamwezi.kwa yeyote mwenye details karibu kuchangia.
Bwana Luchelele mbona kama vile na wewe ni msukuma wa huko huko? au?
 
Back
Top Bottom