Wanawake na Kununa/Kususa

Lakini Asha D,
tatizo sasa la minuno hii,
kunakuwa na kutokuwajibika kwenye ku do!
ndo yale yale , unasikia tu unaambiwa, bwana eeee wewe endelea,
ukimaliza niambie.....lol......!!!!!!!!

lol.......lol.........lol.......lol........

Bacha kama ni mkeo/galfriend tena wa mda mrefu ina maana unajua
weakness spot zake katika huo mchezo... na kama kweli unamjua utatumia
utundu wako woote mpaka she will be gagging for it... yaani kakuruhusu
endelea alafu unasema nini..... Hapo ndo unaonesha uanaume wako kama
kweli wamuweza... na kama wewe ni mzee wa malavidavi...
 
lol.......lol.........lol.......lol........

Bacha kama ni mkeo/galfriend tena wa mda mrefu ina maana unajua
weakness spot zake katika huo mchezo... Na kama kweli unamjua utatumia
utundu wako woote mpaka she will be gagging for it... Yaani kakuruhusu
endelea alafu unasema nini..... Hapo ndo unaonesha uanaume wako kama
kweli wamuweza... Na kama wewe ni mzee wa malavidavi...

hapa asha sidhani kama kuna utundu kivile ambao unaweza ukaufanya kama kidume,
kwani mwanamke hapa ana gubu lake na mihasira inayomsumbua,
hofu aliyo nayo tu ni kwamba anaona kama akikunyima basi,
ndo kafungulia njia ya wewe kwenda nje!
Hapa ni kanyaga twende tu, ukimaliza round yako unajipumzikia tu,!!!!!!!!!
 
with that attitude... unaniangusha Bacha...
 
Take it from me Asha..................................

I don't buy that..... na kama ni kweli you are not in to her, unaona kama kutumia
energy kuweza kumuweka katika mstari ili nae atake ni kama kupoteza mda kwako...
ikifika hio stage then your sex life is definately doomed...
 
All in all, jamani mapenzi sio favor kwa mwenzio! Tabia ya kununa na kususa kama watoto ni kama vile unamfanyia favor sana jamaa yako! wakina dada, this is not fair! Haifai mtu ateseka kwenye mapenzi, kila wakati hajui ni wakati gani utanuna nna kususa.

mnajua kw anini inafikia kipindi wanaume wengi wanakuwa wasiklilizaji zaidi kwenye nyumba? Ni kwa sababu ya tabia hizi. wanaume wanaona kuwa kuepsha shari, ni bora wawe wapole, na wewe dada unajiona mjanaj, umeshinda. Kila unalotaka anafanya, unalosema anakubali. lakini jihadhari, wanaume ni kama Vultures... they are patient birds....
 
I don't buy that..... na kama ni kweli you are not in to her, unaona kama kutumia
energy kuweza kumuweka katika mstari ili nae atake ni kama kupoteza mda kwako...
ikifika hio stage then your sex life is definately doomed...

I dont think so..................................,
tatizo na nyinyi Asha mnatofautiana sana kwenye hii fani.........
 
I dont think so..................................,
tatizo na nyinyi Asha mnatofautiana sana kwenye hii fani.........

Bacha acha kujitetea wewe... huko kutofautiana si ndo the excitement ipo hapo
ya wewe kuenda adventure na utambue uzuri wa jungle ulovamia...
as much as kila msitu una wadudu na wanyama lakini ukiwa makini,
mvumilivu na mbunifu huwezi kosa kufaidi matunda yalo jificha...

Acha kupenda kupenda bwerere na kila siku unkwenda sehemu ina matumizi yoote ya muhimu...
 
Bora umetusaidia okada,
kiukweli inakera sana,
Ni juzi tu nilikuwa nimenuniwa karibu siku 4 lol....!!!!!!!!!!!!!
BTW: Wewe huwa hususi/hununi?
Yaani we acha................ Kosa moja adhabu kibao.........
1. Atanuna
2. Hafui
3. Hakupi haki ya ndoa
4. Atakutukana
5. Hakujali
6. ATakushitaki kwa yeyote anayemdhani atakubadilisha
7. ......etc...........etc................etc...........
 
mwanamke akinuna ndo raha! inaongeza mahaba na ham.
kubembeleza ni maoaja ya sehem ya mpenzi. na kama hujui hata ku break ni sehem nzuri sana ya
mapenzi achilia mali kununiwatu.
 
Bacha acha kujitetea wewe... huko kutofautiana si ndo the excitement ipo hapo
ya wewe kuenda adventure na utambue uzuri wa jungle ulovamia...
as much as kila msitu una wadudu na wanyama lakini ukiwa makini,
mvumilivu na mbunifu huwezi kosa kufaidi matunda yalo jificha...

Acha kupenda kupenda bwerere na kila siku unkwenda sehemu ina matumizi yoote ya muhimu...

Noted with thanks!!!!!!
 
Wana JF, hebu nisaidieni. Kwa nini wanawake wengi huwa tunakawaida ya kuwanunia/kuwasusia wanaume/marafiki zetu? au ndio dalili ya mapenzi? Hii hata kwenye cinema utaiona sana, mwanamke anajifanya kununa/kususa na kuja na mkiwara mingi kama anataka kitu kwa mwanaume! Akikipata, basi utaona anacheka, anaona raha kubembelezwa kama mtoto!

Mbaya zaidi kwenye ndoa, hasa wa wale wenzangu wasiopenda kuambiwa ukweli, wale wanaojiona kuwa kila wakati wako sawa, basi wakirekebishwa/au kushauriwa na waume zao utawakuta wamevuta midomo hao! Kisa mwanaume hamsikilizi na kwa wanawake wengine, ni kama vile hawapendwi! mmh jamani hapo huwa nakwama, kwani mwanaume kukupenda ni yeye kukubakli kila unalosema wewe na akiwa tofauti basi umenuna? Mmh .....

Nuna mara ya kwanza na pay attention, mara ya pili pia, mara ya tatu, nachukulia kuwa ndo ulivyo. Otherwise iwe ni kwa sababu maalumu, kama umenuna kwa kutopewa unyumba.
 
Wana JF, hebu nisaidieni. Kwa nini wanawake wengi huwa tunakawaida ya kuwanunia/kuwasusia wanaume/marafiki zetu? au ndio dalili ya mapenzi? Hii hata kwenye cinema utaiona sana, mwanamke anajifanya kununa/kususa na kuja na mkiwara mingi kama anataka kitu kwa mwanaume! Akikipata, basi utaona anacheka, anaona raha kubembelezwa kama mtoto!

Mbaya zaidi kwenye ndoa, hasa wa wale wenzangu wasiopenda kuambiwa ukweli, wale wanaojiona kuwa kila wakati wako sawa, basi wakirekebishwa/au kushauriwa na waume zao utawakuta wamevuta midomo hao! Kisa mwanaume hamsikilizi na kwa wanawake wengine, ni kama vile hawapendwi! mmh jamani hapo huwa nakwama, kwani mwanaume kukupenda ni yeye kukubakli kila unalosema wewe na akiwa tofauti basi umenuna? Mmh .....

wape wapeee vidonge vyao wakicheka wakinuna ni shauri yao......................
 
kha! moods za mama mjamzito.sijui anakuwa anajiskiaje!namshukuru mungu sijui kununa,hata ukininunia ntacheka na tv au laptop,utashaaa mwenyewe!
Usiombe ukikutana na mwanaume wa kununa . Huwa ni monster waweza kimbia nyumba
 
Back
Top Bottom