Wanapunga upepo. Hao tena ni waswahili wa pwani. Waliolelewa mikoani hawafanyi hivyo.
Wanawake sio watu ni viumbe tu. Wanawake wapo kwa ajili ya kutoa burudani kwa wanaume
Wanawake sio watu ni viumbe tu. Wanawake wapo kwa ajili ya kutoa burudani kwa wanaume
.......Huna haya wala huoni vibaya, kama mwanamke si mtu ni kiumbe na wewe basi ni kiumbe.Maana ulibebwa na mwanamke miezi 9 tumboni, na baada ya hapo alikuleta hapa duniani
Wanawake sio watu ni viumbe tu. Wanawake wapo kwa ajili ya kutoa burudani kwa wanaume
ni kweli wengi hawavai,ni kijitabia kimezuka siku hizi
wao wanaona raha ile mbaya
mimi nawaunga mkono wasivae...
1.kwanza joto laweza sababisha vipele
sehemu nyeti,
2.pili si utamaduni wa waafrika.
3.mitikisiko ya pwani nayo ina
changamsha jiji,ina raha yake.
4.kila mwanamke ana assets zake
za kuringishia,wengine sura,wengine nywele,
na wengine ndo hivyo tena mitikisiko ya pwani.
5,wanaonesha kwa nini Daresalaam inaitwa jiji na sio kijiji.
6.wanawake ni burudani,so wanathibitisha hilo.
Aisifiaye mvua ujue imemnyea mkuu...huyo tayari tsunami la mtikisiko limemwangukia...Hivi we umejuaje? au wewe ndo wakwako havai? Maana kuna watu mungu amewaumba wanavaa lakini maungo yanajibu wanapotembea.... kama ulikuwa hujui basi ujuwe hilo!