wanawake msiovaa vyu$%%% vyenu mnatutafuta ubaaya jamani

Afu hebu niulize hapa. Hivi kuna tofauti kati ya 'g-string' na 'tong'? Manake mume aliniambia nikanunue g-string, nimejitoa kimasomaso akaniambia hizo ni tong! Hebu m-nijuze na mie l'aziz wangu asije kwenda posta kushangaa malimwengu. Manati tunawindana humuhumu, nyumbani petu, lazima ani-pick for lunch japo mara mbili kwa wiki atii! Natanguliza shukrani!
 
mimi nawaunga mkono wasivae...
1.kwanza joto laweza sababisha vipele
sehemu nyeti,
2.pili si utamaduni wa waafrika.
3.mitikisiko ya pwani nayo ina
changamsha jiji,ina raha yake.
4.kila mwanamke ana assets zake
za kuringishia,wengine sura,wengine nywele,
na wengine ndo hivyo tena mitikisiko ya pwani.
5,wanaonesha kwa nini Daresalaam inaitwa jiji na sio kijiji.
6.wanawake ni burudani,so wanathibitisha hilo.

Ina maana mwanamke ni collection of assets tu basi. Yaani mkuu wewe unapenda sana ngono too much!!!!!!!!!!
 
With jeans iko poa lakini dress,skirt au light trousers hapana! Leaves little to imagination! ANd Imagination is the best aphrodisiac
 
With jeans iko poa lakini dress,skirt au light trousers hapana! Leaves little to imagination! ANd Imagination is the best aphrodisiac

Sasa kwenye jeans ****** yatachezaje, wakati lengo ni ****** yatikisike kuvutia watazamaji? Ila waendelee tu kutovaa bana, fahari ya macho haifilisi duka !
 
Si nguo zingine wamevaa? sioni tatizo. Hata TBS haijaweka kiwango cha chini cha mavazi.
 
then ule usemi kwenye maandiko
amwangaliaye mwanamke amezini inakuwaje,...nahhisi kila mtu adi watoto
watakuwa wanazini maana wengine wa miaka 8/9 ndio wa kwanza kukushtua baba angalia
kule kule nini,..kuleeeeeeeee eeeeee sasa na haka kanazini ama??msaada jamani

naona kuna haja ya kuyapitia upya maandiko na kuyatoa kwa namna ya kisasa yaani mstari kama huwa ni karne ya kuuondoa ili kuwakinga wanadamu na dhambi
 
hehehe naona.
huwa nafarijika sana kwa wale wadada wanaovaa vidude hasa visuruali vya kubana ambapo vinanipa nafasi nyepesi kufurahia zile V pale mbeleni kwao. naweza kukuambia kuwa huyu ana kitumbua huyu hana kwa kumwangalia tu hehehe
 
Dah burudani afu umkute aliyejaaliwa mabanda ya uwani
Shughuliii....afu yuko mbele yako utajibaraguza wapiiiiiiii
Kumpita wataka.........kuendelea kufaidi kwa macho wataka
Kazi kwelikweli
 
Ni vigumu sana kwa mwanamke kutembea bila kofuli, mwanamke kutokana na maumbile yake kuna maji maji ambayo utoka kwa mwanamke yoyote yule, hivyo ina kuwa ni vigumu kwangu kuhamini kama mwanamke anaweza umbali mrefu bila hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom