Kuna uzi nimeusoma kuwa kuna mwanaume umefarik na kuacha watoto wawili wa nje ya ndoa ambao waliletwa kwenye msiba wa Mwanaume huyo.
Ukiangalia kwa umakini utaona upuuzi wa Mwanaume ndio unaleta mateso kwa Mke wa ndoa na watoto wa ndoa, maana Uzinzi wa mume unafanya mke aanze kuhangaika kupambania urithi na watu wa nje.
USHAURI WANGU
Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu Kwenye Ndoa, ukiona na ukathibitisha mume wako ni malaya basi dai talaka mapema iwezekanavyo.
Usisite kabisa, maana usipokuwa makini utaletewa watoto siku ya mazishi ya mume wako.