Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Kuna uzi nimeusoma kuwa kuna mwanaume umefarik na kuacha watoto wawili wa nje ya ndoa ambao waliletwa kwenye msiba wa Mwanaume huyo.

Ukiangalia kwa umakini utaona upuuzi wa Mwanaume ndio unaleta mateso kwa Mke wa ndoa na watoto wa ndoa, maana Uzinzi wa mume unafanya mke aanze kuhangaika kupambania urithi na watu wa nje.

USHAURI WANGU
Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu Kwenye Ndoa, ukiona na ukathibitisha mume wako ni malaya basi dai talaka mapema iwezekanavyo.

Usisite kabisa, maana usipokuwa makini utaletewa watoto siku ya mazishi ya mume wako.
 
Utaoa na kuolewa wa kufanana naye, kama wewe sio mzinzi, basi asili itaamua tu usifunge naye pingu za maisha. Tuache lawama za kiduwanzi.
 
Umedanganya hapa
Dada yangu kuna ukweli wa 98%, ujue zinaa sio lazima ufanye sex, kuna chats pia, hujaona watu wanaachana kisa tu chats za kimapenzi. Kiufupi mwanaume au mwanamke anayefanya zina huwa asili inaamua kumpa wa kufanana naye. Hakuna mtu ambaye hazini kabisa apewe mzinifu, lazima asili itawatenganisha, ndo unasikia mtu kadakwa.
 
Kuna uzi nimeusoma kuwa kuna mwanaume umefarik na kuacha watoto wawili wa nje ya ndoa ambao waliletwa kwenye msiba wa Mwanaume huyo.

Ukiangalia kwa umakini utaona upuuzi wa Mwanaume ndio unaleta mateso kwa Mke wa ndoa na watoto wa ndoa, maana Uzinzi wa mume unafanya mke aanze kuhangaika kupambania urithi na watu wa nje.

USHAURI WANGU
Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu Kwenye Ndoa, ukiona na ukathibitisha mume wako ni malaya basi dai talaka mapema iwezekanavyo.

Usisite kabisa, maana usipokuwa makini utaletewa watoto siku ya mazishi ya mume wako.
Kosa kubwa hapo ni la mwanamke. Mwanamke ukishaolewa inabidi umjue mumeo. Ukishajuwa mumeo ana ruka ruka usikubali kuwa golikipa. Jiendeleze kielimu au kibiashara mshirikishe akusaidie. Jitafute usimame mwenyewe kwa asilimia 70 kwenda juu. Hata kama mumeo anapenda kuruka ruka atapunguza. Sasa unakuta mwanamke ni golikipa mume ndio kila kitu na mume anapenda totoz. Hapo inakuwa kama fungulia mbwa ni Bata kwenda mbele. Maana mtu anajua hata afanye nini hauwezi kuondoka au kumzingua.
 
Kiuhalisia umesema Uongo ila ni ukweli kwako
 
Hapana cheating ni kosa la anayefanya na sio asiyefanya. Huu ujinga wa kuwasingizia wanawake kuwa ni sababu ya kufanya cheating ni ujinga uliopitiliza.

Cheating is a choice.
 
Kuna uzi nimeusoma kuwa kuna mwanaume umefarik na kuacha watoto wawili wa nje ya ndoa ambao waliletwa kwenye msiba wa Mwanaume huyo.

Ukiangalia kwa umakini utaona upuuzi wa Mwanaume ndio unaleta mateso kwa Mke wa ndoa na watoto wa ndoa, maana Uzinzi wa mume unafanya mke aanze kuhangaika kupambania urithi na watu wa nje.

USHAURI WANGU
Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu Kwenye Ndoa, ukiona na ukathibitisha mume wako ni malaya basi dai talaka mapema iwezekanavyo.

Usisite kabisa, maana usipokuwa makini utaletewa watoto siku ya mazishi ya mume wako.
mcheki suleiman
daudi
na wengine walikuwa wanapiga kimya kimya hawa ndio walituonyesha njia mkuu
 
ndoa zisizo na wazinzi zilishakufa hizo bora umwambie mkuu hawa chenchede nsio wanaimarisha ndoa zetu na wengine tumewapigania sana pale sinza leo hi tuna 10 yrs plus ya ndoa
Ndoa ambazo hazina wazinzi wapo. Ni sawasawa na kusema Watanzania wote wanavuta bangi wakati kiuhalisia sio wote. Usijumuishe mambo yako ya kijinga na watu wote.
 
Back
Top Bottom