Wanawake msikengeuke kisa eti mmefika chuoni ama una Degree

Tatizo la mwanaume ambaye hajasoma ni inferiority complex....yani hapo tu....hawajiamini,walalamishi,wana gubu si kidogo

ndio ukweli kuna siku anaweza kusema leo usiende kazin ukienda utahamia huko kwa bosi wako ilimradi tu aonekan ana sauti kuwa basi na sauti vitu vya maana
 
Chuo kuna kozi nyingi but sina uhakika kama kuna kozi inayofundisha watu Kuwa wife/husband material
 
Kwa hisani ya watu wa jamhuri ya muungano wa tz napenda kuwapa pole wote ambao ndoa zao au mahusiano yao yameunganisha na vigezo vingine kama fedha,elimu nk badala ya Upendo wa dhati,I can see Tsunami ahead!
 
ndo akili zenu hizo, kwani kutoa ushauri ni mpaka niwe mhanga?[/QUOTE

AISIFIAE MVUA IME ...................................! Hahahaaaaaaaaa
I am Mshinga not the same to lara 1. huo msemo nadhani kwako uko sawa ila kwangu hauko sawa. huwa nikiandika stori inayonihusu lazima niseme kuwa hii ni stori yangu na ni ya kweli. Nitamuita humu humu love aje adhibitishe uzuri sisi wengine wapenzi wetu ni miaka mingi na hatubadili. akija hapa akikutajia miaka ya uhusiano bila mgogoro sijui utasemaje. you are wrong
 
Last edited by a moderator:
ndio ukweli kuna siku anaweza kusema leo usiende kazin ukienda utahamia huko kwa bosi wako ilimradi tu aonekan ana sauti kuwa basi na sauti vitu vya maana

Kweli kabisa aisee kuna wengine sie wakorofi ina nature ukikutana na std 7 au form 4 utajuuta
 
Bytheway.....Shigongo hana shule lakini ana pesa.
Sasa we kijana endelea kupiga miayo tu na kwenda fiesta kwa sana ukisubiria bongo star search ya madam Rita ije ikutoe......utasandaa!!!

MY TAKE:
Huna elimu tafuta pesa.
Usidanganywe na faraja ya uongo kuwa wenye degree wengi wapo mtaani na kazi hawana, wenzio saa yeyote ile wanaulaaaa na kukuacha we kitaa kinaendelea kukuchapa kisawasawa!!

Aisee umeongea bonge la point
 
Wanawake wenzangu SMENI SANAAAAAA! USIKU NA MCHANAAAAAA! SOMA MPAKA UBONGO USEME STOOOOOP! Hususani watoto wa wakulima, na nyie waendekeza FREE PUMBU maana mtasuguliwa pumbu hatariiii, na msipewe kitu cha maana chochote. Hahahahaaaaaa! Ila kama una ki Masters chako aaaaah hata buzi likikwambia njoo nikuweke hapa CREDENTIALS UNAZO UONGOOOO? Umeula hujaulaaa? Inahuuuuu? Au bosi akikupiga Pumbu kuna promotion unamshika hizo hizo pumbu na jicheti lako waitaka promotion atachomokea wapi?

Lakini usiposoma UTAISHIA KUJIKOMBA KOMBA KWA HAWA WANAUME WENYE VIDEGREE KAMA MLIVOVIITA WENZETU WAKATI SIE WANAWAKE WASOMI WENZAO TUNAWAONA FREE P TU NAO VILE VILE, ATANIAMBIA NINI WAKATI GPA NAMZIDI, BODI WANANITAMBUA TUKISIMAMISHWA KWENYE INTERVIEW WATUWASEME SU NAMPOTEZAAA MBAYA, YEYE VIMTIANI VYA BODI VINAMJAMBISHA JAMBISHA! Hahahahaaaaaaaa! It is really pathetic usiposoma UNASHOBOKA MAMBO MADOGO SANAAAAAA, mno mno mnooo mpaka unajiabisha ! amu juziile point ya kamradi kako ka research, NIMRI na Elizabeth Glacier ILINISIKITISHA SANAAAAA! Hahahaaaaaaa!

Hata kama huna kazi unaishi kwa matumaini IKO SIKU UTAPATA, na hata unavofanya biashara zako tofauti kabisaaa na APECHE ALOLO, hata utoaji wako wa hoja mbele za watu tofauti kabisaaaaa! Na hata uendeshaji wa familia tofauti kabisaaaaa! PIA ELIMU INAKUPA CHANSI LA KUJISHAUAAAAA MWENZANGU NA KUWACHAPA WATU BAKORAAA! Unakuta kidume kinajishebudua nina Masters ya Arts huko (MASTERS NI MASTERS LAKINI OOOOOH) Unamtiza kama mpira wa kona, ACTUALLY NA MIMI NINA MBA,Plus nimeapply Phd, prbably next year naanza! THE EXPRESSION IN HIS FACE WILL BE PRICELSS, manake si alikuona mchovu tuuu! sasa kama Ras Simba hapo ndugu lazima ukiss his big black a.ss

ISITOSHE UKISOMA U GET TO MINGLE WITH HIGH CLASS AND INFLUENCIAL PEOPLE! Hawa watoto wakishua rahisi zaidi kukutana nao shule na kujenga bond, kuliko mtaani. plus wanakuheshimu sanaaa. Hata shule ikiisha you get to keep the connections.

MSICHANA KAMA HUTAKI KUWA MTU WA HOVYO HOVYO USIKIMBIE UMANDE NENDA SHULEEEEEE, HATA AKILI HUNA OKOTEZA OKOTEZA UTAFIKAAAA TU!
huu ni mchango kwa mada hii?ama ni ushauri tu nje ya mada?
 
Last edited by a moderator:
Sasa km huyo shigongo ni kilaza, mbona amepiga mkwanja kuliko huyo wife mwenye Master..... wakati mwingine haya mashule ya darasani tunaringia bure tu.

kumbe ukilaza ni unapimwa kwa kutafuta hela?ama darasani kwa kipimo chepesi na kilichozoeleka
 
Wanaume naomba muwe waelewa, naona wengi wenu huwa mnajihisi tu ndio maana mnataka VII na IV.Mwanaume anaemmiliki mwanamke anaemzidi elimu asipotumia akili yake na sio ya ndugu au rafiki lazima atamuona mkewe hafai au mpenzi.

Akitumia akili ya ndugu au rafiki,mke/mpenzi akimwambia kitu cha maendeleo ni lazima atawauliza hao ndugu zake na mwisho watasema anajifanya amesoma.

Akitumia akili yake peke yake watajadiliana na mambo yao yatakuwa poa.

Loading...........
 
Bytheway.....Shigongo hana shule lakini ana pesa.
Sasa we kijana endelea kupiga miayo tu na kwenda fiesta kwa sana ukisubiria bongo star search ya madam Rita ije ikutoe......utasandaa!!!

MY TAKE:
Huna elimu tafuta pesa.
Usidanganywe na faraja ya uongo kuwa wenye degree wengi wapo mtaani na kazi hawana, wenzio saa yeyote ile wanaulaaaa na kukuacha we kitaa kinaendelea kukuchapa kisawasawa!!

inawezekana hujaelewa, nimeshauri wasichana wasiwaache wenzi wao kisa wanaonekana wanekwama jwenye elimu na kinachowapa kiburi mademu ni hicho kidgree ama kwenda chuo. shigongo alimpata mke wake akiwa hana degree na shigongo akiwa siyo tajiri way back in 1992 na hata msichana akiposoma na kuingia chuo hakukengeuka na mafanikio ya shigongo yule mwanamke ndo kasaidia sana. kukengeuka huku si hoja, just fight for life
 
Naona una niuliza Mara 20 au kama vipi nifute hip comment! Ndo mchango wangu huo kama huutaki sema futaa nafuta
nilitaka kujua kabla sijasema lolote maana naona kama haukuendana na mada ila kwa kuwa ni ushauri halijaharibika jambo kuna walioupokea na watakoendelea kuusoma.
 
Wanawake wenzangu SMENI SANAAAAAA! USIKU NA MCHANAAAAAA! SOMA MPAKA UBONGO USEME STOOOOOP! Hususani watoto wa wakulima, na nyie waendekeza FREE PUMBU maana mtasuguliwa pumbu hatariiii, na msipewe kitu cha maana chochote. Hahahahaaaaaa! Ila kama una ki Masters chako aaaaah hata buzi likikwambia njoo nikuweke hapa CREDENTIALS UNAZO UONGOOOO? Umeula hujaulaaa? Inahuuuuu? Au bosi akikupiga Pumbu kuna promotion unamshika hizo hizo pumbu na jicheti lako waitaka promotion atachomokea wapi?

Lakini usiposoma UTAISHIA KUJIKOMBA KOMBA KWA HAWA WANAUME WENYE VIDEGREE KAMA MLIVOVIITA WENZETU WAKATI SIE WANAWAKE WASOMI WENZAO TUNAWAONA FREE P TU NAO VILE VILE, ATANIAMBIA NINI WAKATI GPA NAMZIDI, BODI WANANITAMBUA TUKISIMAMISHWA KWENYE INTERVIEW WATUWASEME SU NAMPOTEZAAA MBAYA, YEYE VIMTIANI VYA BODI VINAMJAMBISHA JAMBISHA! Hahahahaaaaaaaa! It is really pathetic usiposoma UNASHOBOKA MAMBO MADOGO SANAAAAAA, mno mno mnooo mpaka unajiabisha ! amu juziile point ya kamradi kako ka research, NIMRI na Elizabeth Glacier ILINISIKITISHA SANAAAAA! Hahahaaaaaaa!

Hata kama huna kazi unaishi kwa matumaini IKO SIKU UTAPATA, na hata unavofanya biashara zako tofauti kabisaaa na APECHE ALOLO, hata utoaji wako wa hoja mbele za watu tofauti kabisaaaaa! Na hata uendeshaji wa familia tofauti kabisaaaaa! PIA ELIMU INAKUPA CHANSI LA KUJISHAUAAAAA MWENZANGU NA KUWACHAPA WATU BAKORAAA! Unakuta kidume kinajishebudua nina Masters ya Arts huko (MASTERS NI MASTERS LAKINI OOOOOH) Unamtiza kama mpira wa kona, ACTUALLY NA MIMI NINA MBA,Plus nimeapply Phd, prbably next year naanza! THE EXPRESSION IN HIS FACE WILL BE PRICELSS, manake si alikuona mchovu tuuu! sasa kama Ras Simba hapo ndugu lazima ukiss his big black a.ss

ISITOSHE UKISOMA U GET TO MINGLE WITH HIGH CLASS AND INFLUENCIAL PEOPLE! Hawa watoto wakishua rahisi zaidi kukutana nao shule na kujenga bond, kuliko mtaani. plus wanakuheshimu sanaaa. Hata shule ikiisha you get to keep the connections.

MSICHANA KAMA HUTAKI KUWA MTU WA HOVYO HOVYO USIKIMBIE UMANDE NENDA SHULEEEEEE, HATA AKILI HUNA OKOTEZA OKOTEZA UTAFIKAAAA TU!

Yeerr imekaa njema hii mtanisamehe mequote yote hii ila huyu ndugy yetu hapa kaongea ukweli mtupu japokuwa wanaume watadis tu najua hawapendi kutuona tunaendelea go go go lara
 
Last edited by a moderator:
huo mfano wa shigongo sijaupenda.
mke wake ana masters sijakataa ila nani mwenye pesa kumzidi mwenzake.. mwanamke hata awe professor nawe hujawahi kunusa darasa ila una pesa atakupenda tu.. mwanaume hata uwe professor na hauna pesa hakuna mwanamke atakutaka.
naheshimu hisia zako, huu mfano ulikuwa sahihi na bado ni sahihi kwa mada hii. Shigongo alikutana na mkewe wakiwa wote masikini na mke wake akiwa hata degree moja hana mwaka 1992,

hata baada ya mke wake kupata elimu zaidi bado hakumuacha shigongo, na kwa taarifa yako ni kwamba mwanamke kwao ni mambo safi na hata shigongo alisema Mungu tu ndio atakuwa aliwaleta pamoja maana hakukuwa na ulingano wowote wa kipato katika familia zao maana shigongo alitokea familia masikini na demu familia tajiri but still walipendana na hata baada ya demu kwenda chuo, na hata mpaka degree hakuwahi kukengeuka.

NA MIMI NDIO ULIKUWA USHAURI WANGU KUWA KAMA NI MAENDELEO WAYAPIGANIE TU YATAKUJA KAMA YALIVYOKUJA KWA SHIGONGO, na mke wake ndio mwezeshaji mkuu kwa shigongo mpaka hapo alipofikia.
 
Degree kitu gani unaweza kuta mtu hajasoma ila ana uelewa mpana wa maisha binafsi siangalii kigezo cha kua una degree au ushuzi nachotizama unafaa kua mume???? Kwenda darasani si kuelemika waweza soma.madarasa yote still bichwa likawa empty!!!!:mad::mad::mad:

Mwisho wako wa kufikiri umeishia hapo bila shaka.
 
Yeerr imekaa njema hii mtanisamehe mequote yote hii ila huyu ndugy yetu hapa kaongea ukweli mtupu japokuwa wanaume watadis tu najua hawapendi kutuona tunaendelea go go go lara
aaaaaaaaaaaaaah wapi, tunapenda sana muendeleeeeeeeeeeeeeeee, ila tabu yenu mukishaendele munakengeuka muno wakati mshapendana toka mwanzo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom