Wanawake kubadili line za simu Wanapoolewa..

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Ninashangazwa sana na hii tabia.....Hivi kwa nini wanawake wanapoolewa wanabadilisha

line za simu??? Kwa mfano Dada yangu alipoolewa kabadili, mademu wengi ninaowajua

nikisikia wameolewa, nikiwapigia simu siwapati.

Kwa nini jamani mnakuwa hivi? hamjiamini? Hii inanifanya niamini kuwa Wanaume wengi wanaoa wanawake ambao ni

wasanii na washafanya sana mchezo mbaya..

5.jpg
 
mhm ata mie namwambia abadilishe maana majaa hayachelewi kusema " mke wapi goma lenyewe tulikuwa twalimega hapa kidizaini kwani kuolewa ndio mwisho wa utamu" wanakutombe*a tuu.
 
Boflo, siku hizi kuna nguvu nyingi sana. Kuna nguvu ya umma na nyingine ni nguvu ya uke, hii ni kiboko. Kenya nguvu ya uke imesababisha midume iwe inapokea kipondo daily, Kahama kuna mtu kajiua, kuikwepa nguvu ya uke.
Maswali yako haya yatasababisha ukutane na nguvu ya uke kutoka kwa wadada wa JF.
Mi simo, au unajidai kuwasahau wale madume waliobakwa Zimbabwe na wale wadada wenye nguvu za uke?
 
Ninashangazwa sana na hii tabia.....Hivi kwa nini wanawake wanapoolewa wanabadilisha

line za simu??? Kwa mfano Dada yangu alipoolewa kabadili, mademu wengi ninaowajua

nikisikia wameolewa, nikiwapigia simu siwapati.

Kwa nini jamani mnakuwa hivi? hamjiamini? Hii inanifanya niamini kuwa Wanaume wengi wanaoa wanawake ambao ni

wasanii na washafanya sana mchezo mbaya..

View attachment 67665
Nimeona na jamaa naye anabofya, hapo ngoma droo...
 
Boflo, labda anaamua kuanza ukurasa mpya wa maisha na ku-erase kila kitu kilichopita. Si unajua tena waswahili husema ''uhawara haufi''. Kwa maana hyo anaogopa vihawara vya zamani visianze kusumbua halafu ikawa shida. maana anaweza kushindwa mwaliko wa hawara anayetaka wakakumbushie enzi zileeeee!
 
Boflo, siku hizi kuna nguvu nyingi sana. Kuna nguvu ya umma na nyingine ni nguvu ya uke, hii ni kiboko. Kenya nguvu ya uke imesababisha midume iwe inapokea kipondo daily, Kahama kuna mtu kajiua, kuikwepa nguvu ya uke.
Maswali yako haya yatasababisha ukutane na nguvu ya uke kutoka kwa wadada wa JF.
Mi simo, au unajidai kuwasahau wale madume waliobakwa Zimbabwe na wale wadada wenye nguvu za uke?

Bujibuji, nguvu ya uke lol? Yaani nimecheeka sana.

Ndo haki sawa kwa wote tena, mtafanyaje? Ila Boflo namwaminia ktka kujibu hoja, tutacompromise nae tu.
 
i think they are trying to leave the past behind and start afresh, ni vizuri pia kwani may b wanataka kulinda ndoa zao
 
Mimi wa kwangu kabadilisha kama mara tatu hivi na wala sioni taabu kwani ni njia mojawapo ya kulinda mahusiano yetu kama alikuwa na tabia mbaya hapo kabla.
 
Back
Top Bottom