Wanawake huwa wanapenda Wanaume wenye Mamlaka

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
3,620
6,743
Juzi Kati wakati natembelea maskani ya Twitter nikakutana na mkenya mmoja anazungumzia kisa chake kimoja na demu wake.

Anasema yeye kwakawaida huwa soo nice Kwa manzi wake kiasi kwamba kila kitu yeye husema Sawa Tu,yaani Hajui kusema hapana Kwa babe wake, so ikatokea wakati akawa anaumwa na demu akakata mawasiliano kabisa anasema alipopona ikabidi amtafute manzi wake, ndo manzi wake akampa makavu live kuwa yeye sio mwanaume.

Kwasababu yeye huyo demu anapenda mwanaume ambaye anamamlaka naye,ambaye anaweza kumwambia kitu Fulani hapana au sipendi, demu akaendelea kufunguka kuwa "wewe hata nikienda night out na my girls huwa unaniruhusu Tu! Yaani Niko huru kufanya chochote na husemi neno,Mimi napenda mwanaume ambaye hata nikikosea anaweza nifokea na kunislap chap"

Mwengine nae akatoa ushuhuda unao fanana na huo huo kuwa alikuwa Mr nice guy Kwa demu wake lkn mwisho wa siku demu akamwambia mi siwezi kuwa na mwanaume kama wewe ambaye hasimami kama mwanaume.

Bahati nzuri kuna demu mmoja akasema ni kweli wanawake wanapenda mwanaume ambaye atakuwa anamsimamia demu wake na kumfanya ajisikie kuwa ana mwanaume ambaye ana mamlaka naye na akaendelea Kwa kuongeza kusema kuwa " mwanaume ambaye anaonyesha ana wivu na wewe inaonyesha anakupenda na kukujali pia kuliko mwanaume ambaye yeye kila kitu huchukulia poa Tu".

Nakumbuka hata humu Jf kuna madam mmoja aliwahi Toa Uzi kuwa mwanaume wake yaani hajali kabisa kuhusu yeye,yaani hata akisikia ameenda wapi hasemi chochote au kuuliza au kukasirika,na ilikuwa ni shida Sana Kwa madam huyo kumuelewa mumuwe.

Kwahiyo nyie Akina Mr. Nice guys msiseme kuwa hamjaambiwa,habari ndiyo hiyo jifanye nice guy halafu upigwe Chini na baadae unasema demu wangu unajua simuelewi siku hizi? Kumbe amekuona hausimami kama mwanaume.

Ni hayo Tu!
 
Juzi Kati wakati natembelea maskani ya Twitter nikakutana na mkenya mmoja anazungumzia kisa chake kimoja na demu wake.

Anasema yeye kwakawaida huwa soo nice Kwa manzi wake kiasi kwamba kila kitu yeye husema Sawa Tu,yaani Hajui angu unajua simuelewi siku hizi? Kumbe amekuona hausimami kama mwanaume.

Ni hayo Tu!
Yani hawa wanawake mnawaongea kana kwamba wao ni malaika tu tucheze ngoma zao, hata kujadili haya ni udhaifu pia.
 
Yani hawa wanawake mnawaongea kana kwamba wao ni malaika tu tucheze ngoma zao, hata kujadili haya ni udhaifu pia.
Chief sio udhaifu Bali tunawaokoa wanaume wenzetu kwenye haya majanga,hivi unajua mume kutawaliwa kwenye ndoa unafikiri inatokea Kwa siku moja Tu?

Mambo huanzia hivi hivi kidogo kidogo unajaribu kuwa nice guy mdogo mdogo unajikuta unapoteza mamlaka kama mwanaume,kuja kushtuka watu aah jamaa kalishwa limbwata kumbe ni tangu mwanzo alijitengenezea mazingira ya kuanguka kwake.

Be nice lkn asili yako kama bey ubaki nayo
 
Angalau husaidia kupooza Mambo na sio kuwatambua mahitaji yao.
Hawa mara nyingi wako kinyume kinyume katika mambo Yao au hawako wazi.

Kwa mfano akikwambia siku hizi hunipendi haamanishi humpendi kama maana ya kutokupenda Bali anamaanisha kuna mambo Fulani siku hizi hufanyi au umepunguza kufanya wakati zamani ulikuwa unafanya.

Anyways ni vijimambo Tu katika ulimwengu WA malavidavi
 
Mi ushauri pekee nilioupokea ni kutafuta pesa tu, kuwa busy na kusaka pesa,

kuna kazi nilikuwa naila inasema sponsa wake huwa anatoa tu pesa na haombi gemu
Ukishapata pesa then utajikuta unatafuta WA kutumia nae, ishu sio kukimbia tatizo ishu ni kujua tatizo liko wapi na kulitatua.

Tusijifiche kwenye mwamvuli WA kutafuta pesa.
 
Mkuu kama huna pesa hauwezi kuwa mwanaume mbele ya mwanamke wa kileo , zaidi utaonekana una ukoloni wa kiboya tu na mnoko mwenye kupenda kubweka kama mbwa ,labda upate mwanamke mbaya wa sura na umbo ambae hana namna ndo unaweza mkoromea na ufukara wako , cha msingi tutafute pesa watoto wazuri wapo.
 
Wanawake aways Ni mafundi Sana kuchungulia madhaifu yetu na kuyatumia Kama fimbo kutuendesha kama ng'ombe wa kulimia. Hasa suala Zima la misimamo
 
Chief sio udhaifu Bali tunawaokoa wanaume wenzetu kwenye haya majanga,hivi unajua mume kutawaliwa kwenye ndoa unafikiri inatokea Kwa siku moja Tu?

Mambo huanzia hivi hivi kidogo kidogo unajaribu kuwa nice guy mdogo mdogo unajikuta unapoteza mamlaka kama mwanaume,kuja kushtuka watu aah jamaa kalishwa limbwata kumbe ni tangu mwanzo alijitengenezea mazingira ya kuanguka kwake.

Be nice lkn asili yako kama bey ubaki nayo
Mwanaume hutakiwi kutabirika
Wanawake wanapenda mchak mchaka
Akikusoma husomeki, akikubip unampigia
 
Kwa kifupi ni watu wenye mafanikio. PESA, MAMLAKA, NYOTA wa mziki, mpira, ata wkugegeda ili mradI uwe nyota.
Kimsingi ni watu wavivu, wanapenda mselereko
 
Wanawake aways Ni mafundi Sana kuchungulia madhaifu yetu na kuyatumia Kama fimbo kutuendesha kama ng'ombe wa kulimia. Hasa suala Zima la misimamo
Kweli kabisa chief upo sahihi,huwa nasomaga nyuzi zako na mama j ingawa hupita kimya kimya Bila kuacha alama lkn pamoja na kwamba Kwa mama j umekwama lkn nakuona huwa na maamuzi ya kiume,hivyo ndo inavyotakiwa
 
Back
Top Bottom