Wanawake hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? 🤔🤔

Hawapendi kabisa, kuna mmoja amefikia kusema labda kama mama ake amefariki,
Wachache wanakubali kutoka moyoni na wengine wanaangalia kama mtu ana wadhfa ila kiukweli hawapendi
Una miaka mingapi na uzoefu wa maisha! Mwanamke anachoangalia ni uhakika wa maisha! Hata kama una wanawake 1,000 na watoto 2,0000,000 ili mradi mke awe ana uhakika wa maisha! Hii ndivyo ilivyo katika maisha yetu ya sasa na hata Biblia mfalme Suleiman alikuwa na wanawake zaidi ya 1,000 sijajua watoto wangapi (1 falme 11:3).

Tena wake zake hawakuwa wanawake kauzu wa mtaani! Suleimani alioa wana wa wafalme 700! Hakuna binti mbichi mwenye bikra atakayekukataa kama maokoto yapo!
 
Una miaka mingapi na uzoefu wa maisha! Mwanamke anachoangalia ni uhakika wa maisha! Hata kama una wanawake 1,000 na watoto 2,0000,000 ili mradi mke awe ana uhakika wa maisha! Hii ndivyo ilivyo katika maisha yetu ya sasa na hata Biblia mfalme Suleiman alikuwa na wanawake zaidi ya 1,000 sijajua watoto wangapi (1 falme 11:3). Tena wake zake hawakuwa wanawake kauzu wa mtaani! Suleimani alioa wana wa wafalme 700! Hakuna binti mbichi mwenye bikra atakayekukataa kama maokoti yapo!
Kunywa soda kwa hela yako my wangu 😍😍
 
Zaidi ya mmoja kwa kweli ni ngumu.huwezi kuwa na baby mama zaidi ya mmoja halafu utake kuoa brand new.
Ni ngumu kupata mke na hata akijilipua kukukubali ujue huyo ni kauzu hapendi wanao kiivo anaishi kwa akili tu hapo
Mbona wako wengi wameolewa mume ana mtoto zaidi ya mmoja.

Nyie uchawi mazingira ya maokoto yakiwa njema mtajifanya kukataa kataa mwanzoni baada ya hapo mnawekwa ndani vizuri tu tena brand new
 
Back
Top Bottom