Wanawake fake!!....

mwanaume unapoona malezi ya mtoto anaachiwa hg wewe unaingilia kulea wanao?

Wewe ushinde baa kula nyama choma na beer mkeo umwache apange bajeti ya ugali maharage?

Mume unapotegemea kuhudumiwa na mkeo, mkeo anamuhudumia nani? Au unamwachia serengeti boy amhudumie?

Nyumba haijengwi na mtu mmoja kaka, hujengwa na mke na mume, utegemee kufanya mambo yako yaajabu kisa mke ndo muhimili itakula kwako.

Mahusiano ni wote 2 mjitoe kuyalinda na kuyajenga.
Kila mmoja amhudumie mwenzie nawashirikiane bega kwa ega kwenye shughuli mbalimbali za nyumba.
Wawili mshauriane khs bajeti na kadhalika.

mnaosubiri wake zenu wajenge nyumba huku nyie mkitapanya au mkikunja miguu nyumba haitojengeka
 
BADILI TABIA,hebu soma uelewe nilichozungumza kisha uje upya,maswali yako yako nje ya nilichozungumza!
 
mmh, haya makombora yanayorushwa humu si mchezo... umechokoza mzinga wa nyuki nini mzee?
 
Lizzy nakuunga mkono kwa uliyosema ila Niliposema haijalishi mwanamke yukoje nilimaanisha kuwa,mwanaume hitaji lake kwa mke liko palepale haijalishi mkewe ni wa hovyo ama la.Yeye anahitaji tulizo ama ushauri,akiukosa maumbile yatamsukuma akatafute somewhere else,tatizo linakua kubwa zaidi.Pia lets say mwanaume ameoa huku akiwa na tabia za hovyo,mwanamke nae akiwa wa hovyo hapo lazima litalipuka bomu la nyuklia tu,lakini nakuambia hata kama mume atakua wa hovyo vipi mke akitaka abadilike ni muda mfupi tu anachange!Kuhusu hilo la wanaume kuwaona wanawake ni wa hovyo kabla ya ndoa lakini still wanawaoa nafikiri wakati mwingine kamati za ufundi zinatumika!

mwisho wa sredi utamuunga adi miguu. .Chezea lIZZY WEW..
 
Canta,sijawahi kuoa,ila nimewahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa hovyo!Hebu niache mimi na uangalie wengine,inamaana kati ya wanawake smart na wa hovyo ni kundi gani ni wengi?
Basi ungesema baadhi na sio wote.
 
Unapokuwa na watu 100,wawili wakawa na tabia tofauti si ni sawa na wote tu!

Umetoka na wanawake 100 mpaka sasa?dah!.ila hata ungekua na wanawake 1mil bdo kakaangu,.sikatai nguvu ya mwanamke ndani ya mahusiano ila pale mwanaume(kama Mungu,uliem2mia kusema ananvyosema)hajui responsibilities zake kama kichwa cha familia,asimame kama mwanaume,by actions,words,thought etc ni bure!.hata kama mawaziri ni bogus vipi,raisi akismama kama yeye,change is possible!.nguvu ya surbodinates ni catalyst tu..so usiangalie upande mmoja..it takes two to make things right.
 
Inafahamika kuwa linapokuja suala la uimara na ubovu wa ndoa,kufu au kudumu kwa ndoa wanawake mara nyingi ndo wanakua na nguvu sana,sisi wanaume hapa hatuna ubavu.Hivyo basi mwanamke akiwa fake/mjinga nk, na ndoa au mahusiano huwa hivyohivyo.Siku hizi wanawake wengi ni hovyo ndo maana na mahusiano/ndoa nazo ni za hovyo,siku hizi wanawake hawataki majukum ya kike,wanajua ndoa ni kuzaa na kuwatupia watoto ma HG.Hawajui namna ya kumhudumia mume,huduma wanayoijua wao ni ngono tu,hawawezi hata kumshauri mume namna ya kubajeti matumizi ili angalau wapate ka jumba hata ka vyumba viwili,wao wanajua kubana hela ili wakanunue mawigi,skin jeans,vimin nk,kama ni mfanyakazi mshahara unaishia hukohuko na machinga watajazana nyumbani kwako kukudai hela ya rangi za kucha,khanga na upuuzi mwingi tu!Hawa ndo wanawake watakaotusaidia kusonga mbele kimaendeleo kweli?Ama kweli kwa mtindo huu ndoa nyingi zitakua za hovyo ka sababu ya uhovyo wa wanawake wa leo.WANAUME kazi tunayo!
HOJA YAKO NDO FAKE KABISA.
Kibiblia mwanaume ni kichwa sasa hicho kichwa kinachoendeshwa na mwili, lazima
unaongelea wanaume wa kufikirika. Lakini kwa hakika mwanaume ukilegea ndoa
itayumba sana, mwanamke ni msaidizi sasa inakuwaje msaidizi amzidi yule mwenye
majukumu, hebu wanaume tuache visingizio tusimame kwenye nafasi yetu na hali ya
maisha ya jumla itakuwa nzuri.
 
ESAM,hujaelewa nilichoongea hapa,sijazungumza kuwa mwanamke aongoze familia,nimezungumzia nguvu ya mwanamke kwenye ushawishi ili maendeleo yawepo au yaongezeke!
 
Tracy,mawaziri na watendaji wengine chini yao wakiwa wa hovyo rais nae ataonekana wa hovyo!
 
Inafahamika kuwa linapokuja suala la uimara na ubovu wa ndoa,kufu au kudumu kwa ndoa wanawake mara nyingi ndo wanakua na nguvu sana,sisi wanaume hapa hatuna ubavu.Hivyo basi mwanamke akiwa fake/mjinga nk, na ndoa au mahusiano huwa hivyohivyo.Siku hizi wanawake wengi ni hovyo ndo maana na mahusiano/ndoa nazo ni za hovyo,siku hizi wanawake hawataki majukum ya kike,wanajua ndoa ni kuzaa na kuwatupia watoto ma HG.Hawajui namna ya kumhudumia mume,huduma wanayoijua wao ni ngono tu,hawawezi hata kumshauri mume namna ya kubajeti matumizi ili angalau wapate ka jumba hata ka vyumba viwili,wao wanajua kubana hela ili wakanunue mawigi,skin jeans,vimin nk,kama ni mfanyakazi mshahara unaishia hukohuko na machinga watajazana nyumbani kwako kukudai hela ya rangi za kucha,khanga na upuuzi mwingi tu!Hawa ndo wanawake watakaotusaidia kusonga mbele kimaendeleo kweli?Ama kweli kwa mtindo huu ndoa nyingi zitakua za hovyo ka sababu ya uhovyo wa wanawake wa leo.WANAUME kazi tunayo!

duh! Mwana naona umewapania haswa hawa mabiti, maaana now days maisha yao ni ya kichina china haswa.full ufeki kwenye ndoa. Wapeeeee! Waongezee wajirekebishe,maana wengine usiku badala ya kubembelezana na mumewe unamkuta yuko bize na jf . Unakuta mke wa mtu mpaka saa nane za usiku yuko online utafikiri daktari yuko zamu wadi ya wagonjwa mahututi anasikilizia nani anakata roho.humu jukwaani mmu wapo wengi tu.
 
Mkuu nimetabasam baada ya kusoma post yako,wamekusikia!
 
Mhh !! Lizzy Umenikosha sana leo.
Nichangie nini na wewe ushamaliza? i like it !!
 
Back
Top Bottom