Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,709
Inafahamika kuwa linapokuja suala la uimara na ubovu wa ndoa,kufu au kudumu kwa ndoa wanawake mara nyingi ndo wanakua na nguvu sana,sisi wanaume hapa hatuna ubavu.Hivyo basi mwanamke akiwa fake/mjinga nk, na ndoa au mahusiano huwa hivyohivyo.Siku hizi wanawake wengi ni hovyo ndo maana na mahusiano/ndoa nazo ni za hovyo,siku hizi wanawake hawataki majukum ya kike,wanajua ndoa ni kuzaa na kuwatupia watoto ma HG.Hawajui namna ya kumhudumia mume,huduma wanayoijua wao ni ngono tu,hawawezi hata kumshauri mume namna ya kubajeti matumizi ili angalau wapate ka jumba hata ka vyumba viwili,wao wanajua kubana hela ili wakanunue mawigi,skin jeans,vimin nk,kama ni mfanyakazi mshahara unaishia hukohuko na machinga watajazana nyumbani kwako kukudai hela ya rangi za kucha,khanga na upuuzi mwingi tu!Hawa ndo wanawake watakaotusaidia kusonga mbele kimaendeleo kweli?Ama kweli kwa mtindo huu ndoa nyingi zitakua za hovyo ka sababu ya uhovyo wa wanawake wa leo.WANAUME kazi tunayo!