Wanawake angalieni hili

Hivi Mshenga utaamini mie sijawahi fanyiwa hiyo kitu na sababu ni kwamba sipakagi kitu inayoitwa rangi zaidi ya hina.

Na ukiniona kucha zangu ziko vizuri tu. Mie naona kwa anayeweza si mbaya akasafisha kucha zake mwenyewe na kwa wale wasio weza waende tu wakaoshwe mbaya ni kutokujithamini na kilichowapeleka.
Mngh!
 
Hahaaa. Nyie ndio mnalichukulia ni jambo zito.

Cha muhimu na kinachotakiwa kupigiwa kelele ni hao wanawake kujitambua tu na kujua wao ni kina nani. Sababu usafi muhimu Mkuu.

Na hatuwezi kusema si sawa wakati kiuhalisia wateja wao ni wengi kupita kiasi.
Mwanamke ni autonomous, inabidi ajismamie mwenyewe pasi na kufautwa fuatwa nyuma. Ikiwa mwanamke hajui mipaka yake ata ukimwambia kitu flani sio sawa still atakuona unamzingua tu mara unamnyima uhuru. Shida huanzia hapo!
 
Mimi wangu nilishamwambia nikimkuta huko ndoa Hakuna, na mimi scrub ya mwisho saloon nilifanya siku niliyooa.
 
Hii haiko sawa!
Kupakwa rangi tu ndio kulete mengine?.... Mtu aachwe huru kutumia akili na utashi wake. Mtu mzima hawezi kuwekewa masharti kwa vile ati kuna insecurities...............utaweka masharti kila mahali? Njiani asitembee, asiende kazini wala sokoni wala dukani...wala hospitali..wala mazikoni, ...... the list is endless...
Hiyo picha umeiona lkn?, utajisikiaje mtu wako akiwa anashikwa shikwa kifuani na mwanamke mwingine. Eti anamfanyia massage. Tuwe na heshima na mahusiano yetu.kila siku tunalalamika watu wanaachana Kwa sababu za kijinga. Huu ndio ujinga wenyewe.
 
ila jamaa kazi yao ina majaribu,mi naonaga washazoea kuona mapaja ya kina dada kwa mimi mazingira hayo naweza nikatia aibu aisee
 
asi rangi tu
hakuna tabu jamani
-na wauza magenge je?mpemba muuza duka?haus boy??????threat zipo nying ni yeye kuamua n by the way WANAWAKE SI WATOTO WADOGO KUSEMA WANAKURUPUKA TU WANA AKILI KM NYINYI WANAUME NA WANAJUA WANACHOFANYA!!
- u as a man u have to fulfil yr duties then u wl c no 1 can cme across to ya wife ...lakin km wewe mvivu WA KILA KITU basi utakuwa unajishtukia kwa kila kitu ata kakake pia unaweza mfikiria vbaya.........KUWA MWANAUME KAMILI!!!!!!
Hapana hamna akili km sisi.
 
Wazee wa zaman walikuwa na akili sana
HAWA VIUMBE HAWAPASWI KUACHWA HURU

COZ AKILI ZAO WANAZIJUA WENYEWE

ONA SASA YANAYOENDELEA KTK HII DUNIA wanajaribu kuwa sawa kama wanaume at the end of the day wanajikuta wamefail

Ni wachache wenye akili ya kujiendesha wengine n hovyo kabisaa
 
Wazee wa zaman walikuwa na akili sana
HAWA VIUMBE HAWAPASWI KUACHWA HURU

COZ AKILI ZAO WANAZIJUA WENYEWE

ONA SASA YANAYOENDELEA KTK HII DUNIA wanajaribu kuwa sawa kama wanaume at the end of the day wanajikuta wamefail

Ni wachache wenye akili ya kujiendesha wengine n hovyo kabisaa
Mwanamke ni wa kuwa monitored. Ndo nature ilivyo ukimwacha ajiendee tu atafanya upumbavu tu ni lazma!
 
Alafu wana misimamobalaaaa
Sio hawa we engine pasua kichwa sijui vipusa
Demu mzuri halafu akipenda kapenda,,,hakuna moment nzuri kama unapoona kuna bwege anamshobokea mpenzi wako ikiwa anamtaka then unakuta demu wako anamkazia mi nna mtu wangu kisha hapokei simu zake tena kama njia ya kumkatia moto!
 
Back
Top Bottom